ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 948
- 548
mwenzako amemaanisha mwanamke mwenye mapenz sio mwanamke wa ngono fullstopMkuu wacha nitafute pesa, hiyo ndio kila kutu K zitajileta zenyewe hakuna muda wakuhangaika nao.
mwenzako amemaanisha mwanamke mwenye mapenz sio mwanamke wa ngono fullstopMkuu wacha nitafute pesa, hiyo ndio kila kutu K zitajileta zenyewe hakuna muda wakuhangaika nao.
mkuu mwanamke ni koumbe unayepaswa kuishi nae kwa akili zaidi,sio kuwa na pesa wala kukidhi haja zake za mwili .Prove it!Nipo hapa nawashikaji tunapiga stori mbili tatu, ghafla kuna prado inapaki mbele yetu anashuka mshikaji wetu Side ambaye tumefahamiana kutokana na mihangaiko ya hapa na pale huku yeye akiwa ni mgeni mtaani kwetu, mlango wa pili anashuka mwanamke "mkali sana" mweupe peee amepakata mtoto, mwanamke huyo amevaa kijigauni cheupee kimeishia magotini. Side anatusalimia pale na kututambulisha huyu ndo shemeji yenu, tunamsalimia kisha Side anampatia funguo funguo ya gari shemeji yetu na kuondoka zake.
tumebaki na Side tunapiga stori na kumsifia kwa kupata chombo kikali namna ile, wakati wa stori nikanukuu maneno haya mawili ambayo hadi sasa nayatafutia ukweli, Side alisema hawa wanawake ukitaka kuwadhibiti lazima uwe na vitu viwili kati ya hivi
ukifanikiwa kwa hivyo, mwanamke yeyote hakupi tabu tena.
- Pesa za kumtunza
- Kukidhi haja yake ya mwili kikamilifu
.....Side ananyanyuka zake na kuondoka zake......
Sidhani mwanamke mwenye mapenzi ata angalia una nini, naona wewe ndio umeelewa vibayamwenzako amemaanisha mwanamke mwenye mapenz sio mwanamke wa ngono fullstop
Nakuunga mkonomkuu mwanamke ni koumbe unayepaswa kuishi nae kwa akili zaidi,sio kuwa na pesa wala kukidhi haja zake za mwili .Prove it!
Huyo Side labda kajua mwanamke wake ili atulie ni pesa swala mapenzi anajua mwenyewe na ipo siku anaweza akaja gundua kuwa mkewe anatumia pesa zake kumhujumu kivyovyote vile[emoji2][emoji2]
Nipo hapa nawashikaji tunapiga stori mbili tatu, ghafla kuna prado inapaki mbele yetu anashuka mshikaji wetu Side ambaye tumefahamiana kutokana na mihangaiko ya hapa na pale huku yeye akiwa ni mgeni mtaani kwetu, mlango wa pili anashuka mwanamke "mkali sana" mweupe peee amepakata mtoto, mwanamke huyo amevaa kijigauni cheupee kimeishia magotini. Side anatusalimia pale na kututambulisha huyu ndo shemeji yenu, tunamsalimia kisha Side anampatia funguo funguo ya gari shemeji yetu na kuondoka zake.
tumebaki na Side tunapiga stori na kumsifia kwa kupata chombo kikali namna ile, wakati wa stori nikanukuu maneno haya mawili ambayo hadi sasa nayatafutia ukweli, Side alisema hawa wanawake ukitaka kuwadhibiti lazima uwe na vitu viwili kati ya hivi
ukifanikiwa kwa hivyo, mwanamke yeyote hakupi tabu tena.
- Pesa za kumtunza
- Kukidhi haja yake ya mwili kikamilifu
.....Side ananyanyuka zake na kuondoka zake......
Sidhani mwanamke mwenye mapenzi ata angalia una nini, naona wewe ndio umeelewa vibaya
Na waweza kumtosheleza na bado akasumbua, wanawake sio kama hesabu kwamba lazima ifwate formula moja ili upate jibu, mwanamke ni kama uandishi wa essay ulivyoUnaweza kabisa kuwa na pesa lakini muuza genge akamvua picchu mkeo. Ingekuwa pesa ndiyo kila kitu ndoa za matajiri wakubwa duniani zisingevunjika.
Kula lazima na wewe mkuu usielewe mambo nusu nusu sasa,Hata mwanamke mwenye mapenzi ya malaika anaitaji kula.... hakuna mapenzi ya dhati pasipo kula
Kula lazima na wewe mkuu usielewe mambo nusu nusu sasa,
Ilmradi awe na security tu na sio pesa nyiing za kumiliki magari na majumba just pesa ya kawaida kukodhi mahitaji ya kawaida ni tosha sanaKula inawakilisha tu uitaji mwingi, hakuna mwanamke asiyeangali ulichonacho, hawajaumbwa hivyo, ila anaweza analyse and take risky akitegemea future nzuri!
Ilmradi awe na security tu na sio pesa nyiing za kumiliki magari na majumba just pesa ya kawaida kukodhi mahitaji ya kawaida ni tosha sana
Mke wa erasto ni yeye asee ni jamii yao wale watu tamaa ya pesa, mimi ni raia wa kawaida nipo uraiani kwa kawaida naona maisha yanavoenda piaHakunaga ndugu yangu, Muangalia Mke wa Marehemu Erasto, ana kila kitu, lakini yupo anashutumiwa kutaka kumuua wifi yake maana aliachiwa kusimamia baadhi ya vitu vya Kaka yake, HAKUNAGA HIYO kitu... WE MWOMBE MUNGU AND DO YOUR RESPONSIBILITY, HAKUNA FORMULA KWA HAWA VIUMBE
Mke wa erasto ni yeye asee ni jamii yao wale watu tamaa ya pesa, mimi ni raia wa kawaida nipo uraiani kwa kawaida naona maisha yanavoenda pia
Hahaha mkuu, wanawake royal wapo bwana acha kabisa.. na kuna jamii zingine wanatoa majasusi. Ni kumwomba mungu akupeHuwezi jua umepata ka malaika kako