Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Hata mi nakuunga mkono.kwa mfano mmoja hai.mwanamke kama ulimkuta na jamaa yake ambaye choka mbaya kisha we ukamkwapua na hela zako na magari yako!hata umuoneshe mahaba ya aina gani lazima ataenda kwa yule ambae chemistry zao zinaendana
Sababu mwisho wa siku atazizoea hizo hela but chemistry hakuna so.lazima atarudi tu kwa yule wa zamani haijalishi wewe unapesa kiasi gani au una dyu kama la.mandingo
 
PESA KWENYE MAPENZI NI KAMA TIMU PINZANI IPEWE KADI NYEKUNDU ....INGAWA MPO 11 KWA 10 BADO HAIKUPI UHAKIKA WA KUSHINDA[emoji4][emoji4][emoji4][emoji3]
 
Ila tukumbuke kukojozwa na pesa sio guarantee ya amani ya moyo.
Ndio maana hata Zamaradi kasepa kaacha pesa na mtalimbo kwa Ruge. Bila amani ya moyo hivyo viwili ni pointless mfano una mwanamke unamkaza na hela unampa lakini ni kicheche na kiburi sana.
Una mwanaune ambae zipu mbovu ila anaweza mapenzi na hela anazo.
 
Kama hujui bora usijue tu
Maana atateseka akijua,penye penzi la kweli hakuna kuangalia kipato.penzi LA unafiki siku zote pesa mbele,Zamani mama zetu waliolewa kwa kupenda na walikuwa wanalima kutosheleza familia,Leo kitu pesa mbele penzi nyuma,ukiona demu pesa mbele sepa achana nae,kwani pesa ni matokeo lakini penzi ni kama imani yako
 
Mkuu unajua wanawake wengine kutotulia ni hobby... unaweza ukawa na hivyo vyote viwili na bado ukagongewa vile vile
 
Mwanamke ni hisia
Wangapi wenye magari na pesa ndefu wanabwagwa?
Wangapi maskini wanabwagwa?
Mwanamke ni kiumbe cha hisia

Unaweza kumchkua na fedha yako yeye akachukua na kwenda kuhonga na jibingwa huko
Anaweza ukawa maskini Mwenye fedha akakugongea


Don't stay in narrow minded

Jaribu kucheza na hisia licha ya kuwa hubadirika sana
 
Mungu afanikishe upate wa kutulia kwako. unaweza fanya kila kitu kwa mwana mke na ukapigiwa au akapigwa kama kawaida.
 
Hakunaga formula kwa hao watu.
Kuomba Mungu tu.
Watu wana mipesa yao na mambo mengine yapo lakini mwanamke wapiii ndo kwanza jamaa anapata stress kila day
 
Back
Top Bottom