glass amo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,847
- 4,676
Hao hawafai kua wake... Hawafai kabisa unajua ukijua kwamba kuna mwanamke na mke utaweza kutofautisha kati ya pesa na mahisiano.. Relationship.. Chombo cha mahusiano,meli ya uhusiano ambayo haiiangalii una nn wala huna nn,na mkumbuke upendo hauna sababu kwa sababu,sababu yenyewe ni kupenda tu,na huwez kudifine love,kwa kua huamui kupenda ila inakuja yenyewe,so kama inakuja yenyewe unaiwekeje ktk kigezo cha pesa?
Mbona vitu vdogo sana mnashindwa kung'amua hivi? Unadhan kuna mtu anapenda pesa ktk dunia hii lah hasha watu hawahitaji sana fedha bali wanahitaji vtu ambavyo fedha inaweza kununua,pesa haipendwi ila inahitajika tu..upendo hauangalii cxhte ni hisia zinazochoma na zisizochoka.. Ubongo una mambo manne tu unayoyatamani hela haipo
Exactly true fact