Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Nimuhimu ila inategemea....raha ya mapenzi nikupeana na kusaidizana. Sio kwasababu mimi ni mwanaume ndo unikomoe kwakuni piga vibomu, wakati sisi wote tunafanya kazi. Ikitokea nakupa nawe pia unatakiwa unisameh wakati mwengine

Nakubali mkuuu
√√√√√√√
100%
 
Pesa lazma itmke kuborexha mahusiano kuanzia nyanja ya mawasliano vacations na mamb meng 2 ambpo bla pexa hayawez kwenda xawa
Jacky
Hawa watu wengine hawalioni hilo?
Mbona wamenz'ang'ania kitu kisichoeleweka? Mwanamke hats vitabu vya Dino vinasema atamtegemea mwanaume, duniani vitu vizuri ndivyo kila MTU anakimbilia havipatikani bila pesa!
Mwanaume mzuri kwa mwanamke no mwenye pesa!
Ili mwanamke spate anachokihitaji kikamilifu awe na mwanaume mwenye pesa!
Hakuna hadithi nyingine.
 
Duuuuj
So pesa Ina hitajika katima mapenza ili kueanunua?
 
Mkuu
Ikibidi kuyanunua na kuyastawisha!
Unamtokezea mwanamke anakutamani ni vile ulivyokaa kipesa! Shati nzuri 6,500/= na kuendelea ..Ksh ulinunua Lords Nairobi suruali kadhalika, mokasini chini $250 unaendesha Crown Royal saloon....nyeusi hiyo si ni pesa? Kivutio kwanza, ukimpata na kumwendelezea maisha hayo aje mwenye umaarufu wakati akinuka jasho kama mwana anaweza kusema nae!
Wazee pesa Maua!
 
Hahahhha
Kam ulivyo sema ndio sikatai pesa maua zinavhanua na kunyauka.
Ukisha zikosa hakyanan utawaona wanawake n wachungu
Bora akuzooee katika hal yako ya kawaida sio azoee wew n MTU wa pesa.
Utalia na wa kwenu kiama kikifika
 
MTU aliyepanga maisha yake kuishiwa ni Sikh anazikwa
 
Highlight yake iko hivi:

Pesa hufanya mtu/watu kupata huduma nzuri na bora (maisha mazuri)

Maisha mazuri (huduma bora) huleta aman ya nafsi (peace of mind)

Aman ya nafsi (peace of mind) hujenga upendo ndani ya familia

Upendo ndani ya familia huleta mapenzi ya kudumu

Sasa waweza kujijibu swali mwenyewe
 
IMG_4905.jpg
Kwa bongo, mapenzi na pesa.
 
Back
Top Bottom