Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Wasalam, natumaini mko vyema kabisa,

Directly to de main point;
Hua ninajiuliza sana hili swali na sijawahi kupata jibu muafaka kabisa.
Nimeona nilete hapa kwenu huenda nikapata kujua zaidi.

Hivi pesa ina nafasi gani katika mapenzi?
Maana katika hali ya kawaida naona wengi hushindwa mahusiano kwa kigezo cha kipato hasa kwa wanaume na kwa mbali wanawake. Hali ya kua na pesa au kutokua nayo inaathiri vipi mahusiano ya watu hawa wawili?

Nawasilisha.
 
Mmh me sijui usema ukweli ila nimekuwa nimekuta hivyo hivyo mboga bila chumvi uwezi kula nahata ukila utakula kwashida sana namapenzi bila pesa sio virahisi nahata ikitokea basi nikwashidashida tu sasa sijui wakina nani walianzisha hii system
 
Duuuuh.
Maneno kuntuu√√√√
 
Back
Top Bottom