Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Kuna MTU kauliza umuhimu wa pesa katika mapenzi kaanzisha uzi
 
In my life i don believe if Money has attraction for true love......But true Love will last longer in the Presence of Money!
 
Toa maelekezo mazuri bas mkuuuu
Nikuelewe
Mkuu
Mtu anakaa mbezi Beach, Girl friend wake anakaa Kinyerezi na anafanya kazi ya kuchambua Sigara TCc.
Yeye anafanya kazi kibaha accounts clerk kibaha kwenye kikampuni cha vipodozi na ni kapuro tu baskeli hana.
Girl friend wake in malaria inamsumbua kampigia Simu dispensary wamemrefer muhimbili mfukoni jamaa ana 3000/= ya kurudia mbezi.
Tufafanulie hapo anafanyaje?
Mimi Niko sawa...Mtu wa mainstrument nimemkuta Huyo mtoto good shed nimemchota na Prado yangu AC tu inamletea malaria nyingine, nimembeba mpaka Regency 25,000/= consultation fees dawa 30000/=. After treatment puuuuu...kinyerezi! Kumshusha 50000/= na Business card na tutaonana.
Hapo fadhila nini? Kumbuka Boy friend alioshaleta viswahili na 3000/= ! Bibi akaamua kufa kiviake!.....pesa hakuna!
 
Hakika naamin
Kuna kitu kinaitwa Evolution.
Hiki kimebadilisha mfumo wa maisha kabisa!
Wakati ule tukienda mashuleni kwa mguu, viatu miguuni hakuna hats mambo mengi ya anasa hayakuwepo.
Sasaivi katika wasichana 10.....7 .wana smart phone wametoa wapi? Ni bei gani hiyo Simu.....laki kuendelea navnyingi walizonazo sio laki malaki!
Ninyi mmeleta hii nyuzi kuwa enjoy watu na kunua kinachoendelea. You have a hidden agenda.
 
Hakika naamin
Kuna kitu kinaitwa Evolution.
Hiki kimebadilisha mfumo wa maisha kabisa!
Wakati ule tukienda mashuleni kwa mguu, viatu miguuni hakuna hats mambo mengi ya anasa hayakuwepo.
Sasaivi katika wasichana 10.....7 .wana smart phone wametoa wapi? Ni bei gani hiyo Simu.....laki kuendelea navnyingi walizonazo sio laki malaki!
Ninyi mmeleta hii nyuzi kuwa enjoy watu na kujua kinachoendelea. You have a hidden agenda.
 
Haapa mkuu. Hapo kwenye hidden agenda ndo unapo kosea.
Me Kama mm nijambo lilikua lina nitatisa Sana coz
Kwa sasa imekua n vigumu Sana kuanzisha mahusiano na MTU bila kua na kitu.
But katika dhana hiyo hiyo kuna watu hawana hata chakula na wanaish pamoja na wanapendana.
Huon Kama kuna utofaut hapo wa kimtazamo???
 
Mkuu
Mtu anakaa mbezi Beach, Girl friend wake anakaa Kinyerezi na anafanya kazi ya kuchambua Sigara TCc.
Yeye anafanya kazi kibaha accounts clerk kibaha kwenye kikampuni cha vipodozi na ni kapuro tu baskeli hana.
Girl friend wake in malaria inamsumbua kampigia Simu dispensary wamemrefer muhimbili mfukoni jamaa ana 3000/= ya kurudia mbezi.
Tufafanulie hapo anafanyaje?
Mimi Niko sawa...Mtu wa mainstrument nimemkuta Huyo mtoto good shed nimemchota na Prado yangu AC tu inamletea malaria nyingine, nimembeba mpaka Regency 25,000/= consultation fees dawa 30000/=. After treatment puuuuu...kinyerezi! Kumshusha 50000/= na Business card na tutaonana.
Hapo fadhila nini? Kumbuka Boy friend alioshaleta viswahili na 3000/= ! Bibi akaamua kufa kiviake!.....pesa hakuna!
Hapo mkuu sasa inategemeana.
Kama bado n girlfriend huna haja ya kumhudumia Sana co bado hajawa mkeo. Na pia anaish katika mikono ya wazaz wake,
Halafu ukisema kua mshkaji analia mfukon Ana elf3 n saw a yake ndo maana hata alipo mtongoza dem alikubali na ha hali ya msela kua Hana kitu.
Uki leta hiyo dhana ya ww kumpeleka hosptl ndo hapo Una koroga mafuta na maji kabisa
 
Hakika naamin
Kuna kitu kinaitwa Evolution.
Hiki kimebadilisha mfumo wa maisha kabisa!
Wakati ule tukienda mashuleni kwa mguu, viatu miguuni hakuna hats mambo mengi ya anasa hayakuwepo.
Sasaivi katika wasichana 10.....7 .wana smart phone wametoa wapi? Ni bei gani hiyo Simu.....laki kuendelea navnyingi walizonazo sio laki malaki!
Ninyi mmeleta hii nyuzi kuwa enjoy watu na kujua kinachoendelea. You have a hidden agenda.
 
Hayo ya kuzaa ni mengine! Naongelea kistarehe zaidi, teh..
Hhahahahaha.
Sas nshajua nn unawaza.
Kwani kupendana kunahitaji starehe???
Au hisia? Kukisha kua na hisia huoni hayo mengine n majanga tu.
 
Back
Top Bottom