Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

With a million dollar,u can buy a million presents and that will be loving one girl a million way,unless otherwise tutatafta kwenye unafuu wa maisha kila siku
 
Haapa mkuu. Hapo kwenye hidden agenda ndo unapo kosea.
Me Kama mm nijambo lilikua lina nitatisa Sana coz
Kwa sasa imekua n vigumu Sana kuanzisha mahusiano na MTU bila kua na kitu.
But katika dhana hiyo hiyo kuna watu hawana hata chakula na wanaish pamoja na wanapendana.
Huon Kama kuna utofaut hapo wa kimtazamo???
Mkuu
Asante sana,
Kuna mahali unajijibu kwamba unashindwa kuanzisha mahusiano bila kitu.
Kitu ni grease ya kulainisha vyuma. Wale wanaopendana bila kitu ni wale sana utakuta wana Imani moja, itikadi moja na wanafanana vilivyo, lakini wanaishi kwa mateso bila chuki na ukichunguza walianza hivyo kitambo na pengine wameweza kujenga uhusiano usioweza kuvunjika wanasema wrote kwa pamoja haya ndio maisha.
Watu was itikadi hii ni wa2 katika 10.
Nikujuze mkuu upandaji wa mabasi mwanume anaweza, mwanamke jioni utaomba penzi akuambie mbavu inauma walimbana kwenye dala dala ya mbagala, ukiwa mvumilivu nawe unasema unampenda hiyo Siku itapita hiyo ndio hali halisi mkuu.
Wahenga walikuambia; mkono mtupu haulambwi!
 
Hhahahahhh
√√√√√√ 100%
Fact ndo hizo sasa.
Ahsante
 
Haziwezi kuja[/QUOTE
Wana jamvi,
Naomba Mtofautishe kati ya wapenzi na ndoa duni. Ndoa duni inaedelea hivyo hivyo kiduni mfano kule kijijini wanaishi pamoja wanaenda shamba na kurudi pamoja sana bwana akienda kwenye bao akirudi nyege zipo! Anatotoa watoto tu, ndio Remmy akakuambia tajiri na Mali yake ....maskini na watoto.
Mjini hatuishi hivyo! Kuanza uhusiano lazima umwonyeshe binti vitimbwi a million dollar mfano umepewa.
Luna super market, Simu nzuri sehemu za michezo kwa wenye ndoa na michezo mahari mazuri hivi in vilegeza maisha unavipataje bila pesa?
Umaarufu sio?
All the best na umaarufu wako.
 
Hapo mkuu sasa inategemeana.
Kama bado n girlfriend huna haja ya kumhudumia Sana co bado hajawa mkeo. Na pia anaish katika mikono ya wazaz wake,
Halafu ukisema kua mshkaji analia mfukon Ana elf3 n saw a yake ndo maana hata alipo mtongoza dem alikubali na ha hali ya msela kua Hana kitu.
Uki leta hiyo dhana ya ww kumpeleka hosptl ndo hapo Una koroga mafuta na maji kabisa
Mkuu
Usiegemeze msichana kukaa na wazazi wake ndio usimpe Huduma hawa wote unawaona wanahudumiwa na wazazi wao?....hapana!
Naomba niseme tu maneno sio mazuri mabinti wanisamehe kwamba kutoka na dunia hii tunayo mabinti wanakuwa na washikaji zaidi ya wa4 ili apate mahitaji na awe fashionable inavyotakikana hata wanandoa wengi tu tunawaona... bwana zao hawana kitu wanasaidiwa.
Hapa ndipo pesa inachukuwa nafasi katika penzi.
 
Wakuu,
Niwape home work ya kufanya, tembeleeni mahali mtafanikiwa kupata ng'ombe wa kisasa say F4 Huyu ng'ombe hapandwi na hawa ng'ombe uzembe kienyeji wetu hataki kabisa kwa nini?......category..
Kuna watu wanavaa chupi za kushona akikutana na mwanaume havai yeye suruari inamtosha watapendana na maisha yataenda!
Je wengine wote tufuate mfumo huo wa maisha?
Duuuu! Mimi siwezi ntatumia vilainisho kupata kizuri. Hamuwaoni kina Diamond?
 
Ngumu kumeza.
But inategemea pia n mwanamke wa aina Gan ulo nae
 
Wakuu,
Niwape home work ya kufanya, tembeleeni mahali mtafanikiwa kupata ng'ombe wa kisasa say F4 Huyu ng'ombe hapandwi na hawa ng'ombe uzembe kienyeji wetu hataki kabisa kwa nini?......category..
Kuna watu wanavaa chupi za kushona akikutana na mwanaume havai yeye suruari inamtosha watapendana na maisha yataenda!
Je wengine wote tufuate mfumo huo wa maisha?
Duuuu! Mimi siwezi ntatumia vilainisho kupata kizuri. Hamuwaoni kina Diamond?

Hahahaha. Hapo pia unakua unapoteza ladha ya penzi ladhati kutoka moyon na utakua na
Penzi kutoka mfukoni ambapo ni hatar kwa afya yako na moyo piah
 
Japo maisha siyo kutesa kila siku... Ila pesa ndiyo kila kitu...

Pesa ina nafasi yake kwenye mapenzi... Pesa ndiyo inayofanya mambo yaende...

Pesa ni mbolea kwenye mapenzi...

Cc: mahondaw
 
Hapo ndipo nashindwa kabisa. Mean bila pesa hakuna mapenzi??????
 
Mkuu
Mtu anakaa mbezi Beach, Girl friend wake anakaa Kinyerezi na anafanya kazi ya kuchambua Sigara TCc.
Yeye anafanya kazi kibaha accounts clerk kibaha kwenye kikampuni cha vipodozi na ni kapuro tu baskeli hana.
Girl friend wake in malaria inamsumbua kampigia Simu dispensary wamemrefer muhimbili mfukoni jamaa ana 3000/= ya kurudia mbezi.
Tufafanulie hapo anafanyaje?
Mimi Niko sawa...Mtu wa mainstrument nimemkuta Huyo mtoto good shed nimemchota na Prado yangu AC tu inamletea malaria nyingine, nimembeba mpaka Regency 25,000/= consultation fees dawa 30000/=. After treatment puuuuu...kinyerezi! Kumshusha 50000/= na Business card na tutaonana.
Hapo fadhila nini? Kumbuka Boy friend alioshaleta viswahili na 3000/= ! Bibi akaamua kufa kiviake!.....pesa hakuna!
Unajua umeongea point sana lakin kimantik hapa hela imedumishaje penzi au upendo?
 
Haapa mkuu. Hapo kwenye hidden agenda ndo unapo kosea.
Me Kama mm nijambo lilikua lina nitatisa Sana coz
Kwa sasa imekua n vigumu Sana kuanzisha mahusiano na MTU bila kua na kitu.
But katika dhana hiyo hiyo kuna watu hawana hata chakula na wanaish pamoja na wanapendana.
Huon Kama kuna utofaut hapo wa kimtazamo???
Kitu kinaingiaje hapo kwenye mahusiano?
 
Mkuu
Usiegemeze msichana kukaa na wazazi wake ndio usimpe Huduma hawa wote unawaona wanahudumiwa na wazazi wao?....hapana!
Naomba niseme tu maneno sio mazuri mabinti wanisamehe kwamba kutoka na dunia hii tunayo mabinti wanakuwa na washikaji zaidi ya wa4 ili apate mahitaji na awe fashionable inavyotakikana hata wanandoa wengi tu tunawaona... bwana zao hawana kitu wanasaidiwa.
Hapa ndipo pesa inachukuwa nafasi katika penzi.
Hao hawafai kua wake... Hawafai kabisa unajua ukijua kwamba kuna mwanamke na mke utaweza kutofautisha kati ya pesa na mahisiano.. Relationship.. Chombo cha mahusiano,meli ya uhusiano ambayo haiiangalii una nn wala huna nn,na mkumbuke upendo hauna sababu kwa sababu,sababu yenyewe ni kupenda tu,na huwez kudifine love,kwa kua huamui kupenda ila inakuja yenyewe,so kama inakuja yenyewe unaiwekeje ktk kigezo cha pesa?

Mbona vitu vdogo sana mnashindwa kung'amua hivi? Unadhan kuna mtu anapenda pesa ktk dunia hii lah hasha watu hawahitaji sana fedha bali wanahitaji vtu ambavyo fedha inaweza kununua,pesa haipendwi ila inahitajika tu..upendo hauangalii cxhte ni hisia zinazochoma na zisizochoka.. Ubongo una mambo manne tu unayoyatamani hela haipo
 
Back
Top Bottom