Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,173
Asanteee kwa kulifahamu hilo tusiwe wanafki jamaniSibishi wala
Asanteee kwa kulifahamu hilo tusiwe wanafki jamaniSibishi wala
hahahahhahahaahMimi natumia dushe langu[emoji23][emoji23][emoji23]
true fact..Pesa haina nafasi kabisa katika mapenzi. Ila watu ndiyo huihusisha directly kwenye mapenzi. Na kwa sasa watu sasa tumeipa kipaumbele kwenye mapenzi.
Ndiyo maana true love imebakia vijijini tu ila mjini hasa tunaihusha pesa na mapenzi ndiyo mambo yanazidi kuharibika zaidi.
Kwahiyo pasipo pesa no mapenz??Pesa ni kilainishi zaidi ya K.Y
Mmmmh. Na hiyo n kwa mwanaume pekee au na mwanamke anahusika kuchangia???Bila pesa hakuna mapenzi kama hauna hela tafuta tu mkuu pesa ina umuhimu wake mkubwa sana
Kwahiyo Una maanisha bila pesa haitakiwi kujihusisha na mapenz????Nashukuru Umeliweka Wazi Hili Hongera
Hahahahah. ahHeshma aisee
kosa ela utaelewa somo
Mbona kuna watu n masikini na wanapendana Sana mkuuBila pesa hakuna mapenzi kama hauna hela tafuta tu mkuu pesa ina umuhimu wake mkubwa sana
*VIGEZO VYA KUTOA PESA KWA MWANAMKE AMBAYE SIYO DADA YAKO WALA MAMA YAKO:*
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
1) Lazima awe mpenzi wako na asiwe mpenzi wa maneno yaani lazima uwe Na ukaribu naye wakutosha
Haya mambo ya tutaonana tu mara samahani naomba nitumie 10,000 au 20,000 unatoa utachukia wanawake bila sababu kwani ukiwaendekeza utatoa hizo wakati dada zako hata hela za chupi hawana, *WAAMBIE SINA*
2) Mwanamke wa kumpa PESA ni Yule ambaye ukimtaka unampata na wakati mwingine anakuwa na hamu ya kuwa na wewe na siyo yule aliyekupa kwa bahati mbaya hajarudi tena halafu unasumbuka kutuma hela itafika wakati utamtukana, *MWAMBIE SINA USIUMIZE KICHWA*
3) Umemtokea mtoto wa kike ameonyesha uelekeo lakini ubize haumuishi, MUACHE ABAKI KUWA rafiki ila PESA usitoe sababu mpo kama 50 hivi wote anacheza na akili zenu
4) Demu anayetakiwa kupewa PESA ni yule ambaye siku zote yupo hapo kwa ajili yako yaani hata kama ana wengine usijali na usitake kujua, ila ukimtaka unampata na wakati mwingine anakutafuta wewe BABY I MISS YOU mpe pesa hata km hajaomba
5.Mwanamke ambaye hawezi kukwambia bebi nina hamu na wewe na akauliza lini upo na muda nije na akaja
6.Mwanamke ambaye ukimuonyesha kuwa unamuhitaji Kwa sex sababu haziishi MFANYE AWE rafiki SABABU HAKUFAI HUYO yupo na wewe kwa sababu ya PESA na si kingine
*NI SOMO RAHISI LISILO HITAJI HATA TWISHENI*
Kwani Kama sija muoa hayo yote yanatoka wapi ikiwa bado anaishi kwao????Mpenzi wako anahitaji kuvaa.... Kula....matibabu pindi atakapoumwa... Vipodozi vya kumfanya apendeze.... Unadhani hivi vitu vinaokotwa jalalani?????
Unaweza tumia pesa na bado wengine wakajilia kiulaaainMapenzi pesa. Ufundi peleka VETA
Sio kwamba ikikosekana mapenzi hayata kuwepo bali ni catalyst inayofanya mapenzi yanoge zaidi,maisha tunayoishi bila ya kuwa na pesa yanakuwa ni magumu sana kwani karibu kila kitu ni lazima ununue,sasa inapokosekana hali ya upendo na mapenzi inakuwa ni ngumu sana kuyatekeleza...
[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe si unaijua sasa picha ya nnWeka picha
Kwani kuna gharama gani kwenye mapenzi?hahahahhahahaah
Ndo unatumia kulipia gharama au?
Kutoka out, kufanya shopping, kulal hotel n.kKwani kuna gharama gani kwenye mapenzi?
He he[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe si unaijua sasa picha ya nn