Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

inamana mkuu wenye pesa wake zao hawaliwi?

Ifike mahali tusidanganyane mkuu mwanamke ni akuridhie mwenyewe ila swala la kumiliki mwanamke kisa pesa hapa tunafeli sana mkuu ,maana wenye pesa kila siku wanachapiwa na tunashuhudia mitaani ..

Kuwa napesa hakusababishi mwanamke wenye kujielewa kukubali

huwa tunashindwa kuelewa kuna mwanamke na kijimwanamke
Umeongea ukwel mkuu ila unanihisi ukiwa na pesa utachapiwa kama ambavyo usipokuwa na pesa...!?
Ishort ulimwengu wa sasa ili hata hiyo heshima iwepo ingawa unachapiwa, inabid uwe na pesa tu vinginevyo utachapiwa na heshima hutapewa.
 
Hivi candy hukupata?

Ulichagua aina gani vile?

I'll make it up for you Espy!
Sikupata kabisa, nilichagua hii
572241d35408323dfcc5123f9aee452f.jpg
 
inamana mkuu wenye pesa wake zao hawaliwi?

Ifike mahali tusidanganyane mkuu mwanamke ni akuridhie mwenyewe ila swala la kumiliki mwanamke kisa pesa hapa tunafeli sana mkuu ,maana wenye pesa kila siku wanachapiwa na tunashuhudia mitaani ..

Kuwa napesa hakusababishi mwanamke wenye kujielewa kukubali

huwa tunashindwa kuelewa kuna mwanamke na kijimwanamke
Point Noted
 
Siku zote mwanamke km hajakupenda hajakupenda hata ufanyie nini,,, na Siku zote pesa haiwezi kununua upendo wa dhati pesa hauwezi kununua furaha ya moyo pesa hauiwezi kununua mapenzi,,, ila pesa inaweza kununua NGONO unaweza ukawa hauna pesa na mwanamke akukupenda tena anakila sifa ya kuitwa mwanamke huna hata mia lkni karidhika na wewe,,, vile vile unaweza ukawa na pesa lkn mapenzi takakutesa vilivyo kila Siku kwako nikilio afadhali ya Jana,,,, Mapenzi si pesa vijana wenzangu tuamke tuache kudanganyana na km mababu zetu wangekuwa wanajali sana fedha wa na mabibi zetu sidhani hata sisi Leo tungekuwepo,,, mapenzi ni zaidi ya pesa.. Unaweza ukawa na pesa lkn huna furaha ya moyo lkn unaweza ukawa huna pesa lkn huoni kuwa km huna pesa kila siku wewe ni MTU wa tabasamu na niwape siri moja asilimia 50% ya wanaume wanaoimba kila siku mapnzi ni pesa hawajiamini ndiyo sababu wanaona bila pesa huwezi kupata mpnz mzuri wa jinsi unavyomtaka wewe,, alfu kitu kingine mazingira unayojiweka hivyo hivyo unapata mpnz kutokana na ulivyo,, naabishaye yeye jeuri, ukimpata anaye kupenda kwa dhati alafu hayupo venye unataka wewe, nenda ka mbadilishe awe jinsi utakavyo wewe hayo ni yangu akili zangu mwenywe

Pesa ni kama mwalimu ktk kufaulu masomo,,,asipokuwepo unaweza kufaulu,ila kwa low performance.

Ila mawazo yako yananivuta kwako mrembo
 
Kweli aisee ukiwa na pesa unaoa mwanamke umtakaye yoyote

Na kuchapiwa ni nadra sana labda mwenyewe uwe zuzu kitandani!!!!

Wanawake wengi wanachepuka
1.kusaka pesa
2.kukojoleshwa
 
Mie natafuta pesa ili kuwa na familia bora yenye furaha na amani...kutafuta pesa kwa ajili ya kuwa na malaya wazuri kuna hasara zake maradhi kushindwa kujipanga kimaisha nk ila mwanaume mke mmoja nyumbani ukirudi unakula vizuri watoto wanasoma wanayafurahia maisha ndani hakuna kuhisiana vibaya sijui nitataka nini zaidi yakumuomba Mungu anijaalie pepo,maisha ya anasa duniani ni mabaya hututenga na Muumba wetu maisha yenyewe haya miaka 50 tunaitafuta kwa kwa mawani.
 
Mwanaume wa kweli
 
Back
Top Bottom