Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Zari is a huge fan of celebrity lifestyle. Hiyo kitu ilimfanya hadi awe mwanamuziki japo kipaji hana, bado hakuwa celebrity, akahangaika sn kuwa socialite, Ivan hakuweza kumpa celebrity lifestyle. Mwishoe ndio akaangukia kwa Chibu ambae anamtimizia hiyo lifestyle ya kuonekana kwenye kininga na kuzungumzwa kwa media houses. Nasema haya si kwa kukisia, niliwahi kukutana na kupiga story na Dafe Louis ambae alikua ni Manager wa Boss Lady.

Kumbuka Zari hn njaa kabisa kabisa. Miradi yote ya Ivan ana shares zake. Mwisho wa siku kila mtu anaishi maisha yanayompendeza. Pesa ni superglue kwa madem wenye njaa.
Nakubaliana na wewe
 
LOVE IS LOVE and CASH IS CASH! Yes, many women needs cash especially those who think in their mind that "PAPUCHI" is a capital of their life....and nearly 75% of Tanzania ladies ( 18 - 45) believe on this but all these is due to poverty and globalization.

However, there are beautiful and good women - EXCEPTIONAL ONES - what they need from man is just a true love and normal care as a husband to his family....I mean what they need is a responsible man/husband.

So don't think that if you have plenty cash then you're able to drive or buy sex to every woman.....NO, NO, BIG NO!

They are few women who respect and understand themselves as WOMAN and they have their own standards although they need man, but you can't buy them by your cash.
 
Oh mukama katonda mulabe omwana waafe ivan.

Omwakile omugyirile embazi omusasile ahalabe yakushobize nebirungyi ebiyakorele abantu waabe. Ahumure aizina rya yesu kristo omwana wawe nyamunegyere. Amina.
 
Hizi pesa zimekutwa kwenye chumba kimoja maalum kwenye nyumba aliyokuwa akiishi mume wa zamani wa zari (Ivan )mpaka nimejiuliza sana kwa nini zari aliachana na mume wake ?

Nimegudua mapenzi sio pesa
ef9739312df22a27264c1067afa9218f.jpg


Hivi uongo huwa unawasaidia nini?


Hiyo picha na hizo pesa story yake ipo CNN ni mambo ya Mkuu wa ujasusi wa Nigeria.

Hii hapa: Nigeria's spy chief suspended after $43 million seized from apartment - CNN.com

Punguani wahe
 
Oh mukama katonda mulabe omwana waafe ivan.

Omwakile omugyirile embazi omusasile ahalabe yakushobize nebirungyi ebiyakorele abantu waabe. Ahumure aizina rya yesu kristo omwana wawe nyamunegyere. Amina.
Hapo nimetoka kapa.
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kama hizo kweli ni pesa zake
huyo Ivan, maana hii picha ni kama ya mtandaoni tu
hpa imekuja tu pachikwa.

Hizi pesa zimekutwa kwenye chumba kimoja maalum kwenye nyumba aliyokuwa akiishi mume wa zamani wa zari (Ivan )mpaka nimejiuliza sana kwa nini zari aliachana na mume wake ?

Nimegudua mapenzi sio pesa
ef9739312df22a27264c1067afa9218f.jpg
 
Back
Top Bottom