agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,414
Jilani yanguAiseeee....Eti Agata hiyo avatar ndio wewe?
Jilani yanguAiseeee....Eti Agata hiyo avatar ndio wewe?
Nmmh haya naisubirihapana haitakiwi kumwaga mchele kwenye kuku wengi na hasa pale mchele wenyewe unapokuwa mdogo hautosheleziii
[emoji85]Naunga mkono hoja %
Nenda pm utaikuta tiyariiNmmh haya naisubiri
NtakuchapaaTeh teh teeeeh!!!
Pesa muhimu sanaaaa zitafuteni tu, hayo ya kuchapiwa ni mambo mengine.
Na pesa?Ntakuchapaa
+ TengeNa pesa?
Pesa peke yake bwana.+ Tenge
Wewe tu.Pesa peke yake bwana.
Nitumie basi.Wewe tu.
Raha ya pesa upewe mkononi....Nitumie basi.
Raha ya pesa utumiwe bwana.Raha ya pesa upewe mkononi....
Bidii hiyo inaambatana na pesa. Mwanamke huamua mwenyewe kutulia kwahiyo palipo na uhakika wa pesa na penzi la dhati atatulia tu. Mnachokosea ni ile kudhani ukiwa na pesa umemaliza, tafuta pesa(ni security) then mpende mkeo uone kama mtalialia tena.
Usitafute kwa nia ovu ya kujikusanyia wanawake,tafuta kwa nia ya kuwa na maisha bora na mkeo/wakezo(kwa waislamu) na familia yako.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Espy
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Abee.
Safi tu ngabu, umepotelea wapi?Za masiku mrembo...
Safi tu ngabu, umepotelea wapi?
Ooooh safi sana, vipi hauhitaji msaada huko? Maana niko vizuri kwa shughuli hiyo.Nilipotelea kwenye majaruba ya mpunga huku Ikungulyabashashi.
Najishughulisha na kilimo siku hizi.
Totoz...