Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Haya maneno ya kujipa moyo tu, kama wengi wasemavyo uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu....Whoopi alianza kushika pesa kabla ya Beyoce lakini hamfikii Beyonce kwa uzuri! Oprah ni billionare lakini hamfikii Beyonce kwa uzuri.....
Umeelewa nilichoandika?
 
inamana mkuu wenye pesa wake zao hawaliwi?

Ifike mahali tusidanganyane mkuu mwanamke ni akuridhie mwenyewe ila swala la kumiliki mwanamke kisa pesa hapa tunafeli sana mkuu ,maana wenye pesa kila siku wanachapiwa na tunashuhudia mitaani ..

Kuwa napesa hakusababishi mwanamke wenye kujielewa kukubali

huwa tunashindwa kuelewa kuna mwanamke na kijimwanamke
Mwaaaaaaaaa yani nimekutafutia zawadi nyingine nimekosa[emoji182] [emoji182]
 
Mwaaaaaaaaa yani nimekutafutia zawadi nyingine nimekosa[emoji182] [emoji182]
Hahaha utakosaje mkuu zawadi jaman ya kunipa sema tu basi hutaki (hahahaha)

Nashkuru kwa hii i wish ingekuwa in real life aisee[emoji117] [emoji182]

Nahisi ningeanguka na kupiteza fahamu hapo hapo
 
Kila mwanaume ndoto yake kubwa katika mapenzi ni kuoa au kumiliki mpenzi ambaye ni mzuri wa sura na mrembo. Japo wahenga walisema mwanamke Tabia usemi huu umetupiliwa mbali na vijana wa leo wanaoamini kuwa Tabia inafundishika.

Sasa kwa maisha ya sasa na jinsi minavyowaona wadada wa kileo kama ukimiliki msichana mrembo wa kuvutia na hauna hela ujue kuna mambo mawili, kwanza yawezekana una zali la mentali, ambalo kwa miaka hii ya karibuni limepotea, pili unasaidiwa pia kula chakula cha ndoa na mtu mwingine mwenye pesa.

Ili kuondokana na kero hii njia kuu ni moja kupigana kiume, usiku na mchana kuzisaka pesa, ukizipata utapata mrembo wa aina ile unayemtaka vinginevyo kumiliki binti mrembo na mzuri wa sura ni ndoto za alinacha.

Kama wanaume tukiwa wavivu kujituma tutegemee mambo mawili kwanza kukumbatia ule useme wa mwanamke tabia na kutumia usemi huu kama kimbilio letu la kujitenga na mabinti warembo au tusubiri zali la mentali.

hizoo ni ndoto za vijana wasiojielewa. unatafuta pesa kisa kupata warembo tafuta pesa kwa ajili ya future yako na wajukuu zako.
 
Siku zote mwanamke km hajakupenda hajakupenda hata ufanyie nini,,, na Siku zote pesa haiwezi kununua upendo wa dhati pesa hauwezi kununua furaha ya moyo pesa hauiwezi kununua mapenzi,,, ila pesa inaweza kununua NGONO unaweza ukawa hauna pesa na mwanamke akukupenda tena anakila sifa ya kuitwa mwanamke huna hata mia lkni karidhika na wewe,,, vile vile unaweza ukawa na pesa lkn mapenzi takakutesa vilivyo kila Siku kwako nikilio afadhali ya Jana,,,, Mapenzi si pesa vijana wenzangu tuamke tuache kudanganyana na km mababu zetu wangekuwa wanajali sana fedha wa na mabibi zetu sidhani hata sisi Leo tungekuwepo,,, mapenzi ni zaidi ya pesa.. Unaweza ukawa na pesa lkn huna furaha ya moyo lkn unaweza ukawa huna pesa lkn huoni kuwa km huna pesa kila siku wewe ni MTU wa tabasamu na niwape siri moja asilimia 50% ya wanaume wanaoimba kila siku mapnzi ni pesa hawajiamini ndiyo sababu wanaona bila pesa huwezi kupata mpnz mzuri wa jinsi unavyomtaka wewe,, alfu kitu kingine mazingira unayojiweka hivyo hivyo unapata mpnz kutokana na ulivyo,, naabishaye yeye jeuri, ukimpata anaye kupenda kwa dhati alafu hayupo venye unataka wewe, nenda ka mbadilishe awe jinsi utakavyo wewe hayo ni yangu akili zangu mwenywe
 
pesa inang'arisha bhn watu wanatokea huko kolomi... wakiwa mavumbi kama ngoswe ila wakipata hela tu wanang'aa na maringo yanaanza. bongo bila hela hupendezi wala kupendwa
 
Bidii hiyo inaambatana na pesa. Mwanamke huamua mwenyewe kutulia kwahiyo palipo na uhakika wa pesa na penzi la dhati atatulia tu. Mnachokosea ni ile kudhani ukiwa na pesa umemaliza, tafuta pesa(ni security) then mpende mkeo uone kama mtalialia tena.

Usitafute kwa nia ovu ya kujikusanyia wanawake,tafuta kwa nia ya kuwa na maisha bora na mkeo/wakezo(kwa waislamu) na familia yako.
Na mimi nachokataa utafute pesa kwa ajili ya mwanamke ..

kwanza ifahamike swala la kutafuta pesa kwa mwanaume ni wajibu yaani ni lazima ila nachokataa isiwe kwa ajili ya mwanamke hapo hapana .

Na mimi huwa sitaki kumshawishi mwanamke apende pesa yangu nachotaka anipende mimi kama mimi pesa ije baadae
 
Hahaha utakosaje mkuu zawadi jaman ya kunipa sema tu basi hutaki (hahahaha)

Nashkuru kwa hii i wish ingekuwa in real life aisee[emoji117] [emoji182]

Nahisi ningeanguka na kupiteza fahamu hapo hapo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usijali one day kungekuwa jf baada lbd km mwaka tunaandaa kaparty kidogo tunakutana ingekuwa bomba kweli hapo ndiyoy ningekupa zawadi bomba
 
inamana mkuu wenye pesa wake zao hawaliwi?

Ifike mahali tusidanganyane mkuu mwanamke ni akuridhie mwenyewe ila swala la kumiliki mwanamke kisa pesa hapa tunafeli sana mkuu ,maana wenye pesa kila siku wanachapiwa na tunashuhudia mitaani ..

Kuwa napesa hakusababishi mwanamke wenye kujielewa kukubali

huwa tunashindwa kuelewa kuna mwanamke na kijimwanamke
Hahaa atleast ukiwa na pesa hazitakupita mkuu utapata hta kama ata kucheat
 
Na mimi nachokataa utafute pesa kwa ajili ya mwanamke ..

kwanza ifahamike swala la kutafuta pesa kwa mwanaume ni wajibu yaani ni lazima ila nachokataa isiwe kwa ajili ya mwanamke hapo hapana .

Na mimi huwa sitaki kumshawishi mwanamke apende pesa yangu nachotaka anipende mimi kama mimi pesa ije baadae
Atapenda pesa then wewe utafuata na atawapenda kwa pamoja kwa dhati kabisa.

Hiyo ni akili ya kiume, au umesahu ubongo huwaza mahusiano kwa kiasi gani? Kwahiyo ni nature hiyo mkuu. Tafuteni tu ili mtupe raha.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usijali one day kungekuwa jf baada lbd km mwaka tunaandaa kaparty kidogo tunakutana ingekuwa bomba kweli hapo ndiyoy ningekupa zawadi bomba
hahaha itabidi tu tutaandaa party yetu wallah maana siwezi kosa mambo mazuri kisa jf hawaandai party
 
Hahaa atleast ukiwa na pesa hazitakupita mkuu utapata hta kama ata kucheat
mbona kuna watu mkuu wanakula watoto wa zuri na pesa hawana ?

mimi nishakula watoto wa zuri na pesa wananipa sio mimi kuwapa

Mkuu nikujiamini vzuri tu yaan kama ukiwaelewa wanawake mzee utafaidi vingi kutoka kwao tena bure na mtu atakwambia sina haja na pesa yako
 
Back
Top Bottom