Siku zote mwanamke km hajakupenda hajakupenda hata ufanyie nini,,, na Siku zote pesa haiwezi kununua upendo wa dhati pesa hauwezi kununua furaha ya moyo pesa hauiwezi kununua mapenzi,,, ila pesa inaweza kununua NGONO unaweza ukawa hauna pesa na mwanamke akukupenda tena anakila sifa ya kuitwa mwanamke huna hata mia lkni karidhika na wewe,,, vile vile unaweza ukawa na pesa lkn mapenzi takakutesa vilivyo kila Siku kwako nikilio afadhali ya Jana,,,, Mapenzi si pesa vijana wenzangu tuamke tuache kudanganyana na km mababu zetu wangekuwa wanajali sana fedha wa na mabibi zetu sidhani hata sisi Leo tungekuwepo,,, mapenzi ni zaidi ya pesa.. Unaweza ukawa na pesa lkn huna furaha ya moyo lkn unaweza ukawa huna pesa lkn huoni kuwa km huna pesa kila siku wewe ni MTU wa tabasamu na niwape siri moja asilimia 50% ya wanaume wanaoimba kila siku mapnzi ni pesa hawajiamini ndiyo sababu wanaona bila pesa huwezi kupata mpnz mzuri wa jinsi unavyomtaka wewe,, alfu kitu kingine mazingira unayojiweka hivyo hivyo unapata mpnz kutokana na ulivyo,, naabishaye yeye jeuri, ukimpata anaye kupenda kwa dhati alafu hayupo venye unataka wewe, nenda ka mbadilishe awe jinsi utakavyo wewe hayo ni yangu akili zangu mwenywe