Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Duuuh kweli kuna walevi hapa duniani,, Hiyo ni golden chance kabisa af unauliza ufanyeje????? Yan hapo messi kaachwa na goi kwenye fainali. Hyo ikitokea kwa maolokai kama sisi ndo utajua kwanini mavi sio mwiba ila mtu akikanyaga anachechemea,, Maana huwa sipendi ujinga mimi wala sina shida na mtu
 
Halafu i don't even know why we are even discussing this to begin with, wewe su una mke?? Ungeonyesha kuwa uko committed na ndoa yako hata asingethubutu kukueleza huo upuuzi.
 
Bro shtuka , ilo fumanizi usawa wa Magu huu la sivyo mpeleke unapopajua ww sio nyumban kwake kwanza umeoa hautaona aibu kichwa cha habar kikitoka ".MUME WA MTU AFUMANIWA KWA MCHEPUKO USIKU WA MANANE"
 
Huez kua na miaka 40 wewe!! Kama huna chakuandika hapa bora ukae kimya[emoji53]
 
Dah, kuna demu umri wake yapata 20yrs mimi nina 40 yrs. Huyu msichana alikuwa anaonyesha kunitaka lakini nampotezea sana, sasa leo amenitega kweli, amenikuta sehemu yangu ya kazi kaanza kunipigisha story mara dada yangu kasafiri( anaishi kwa dada yake), mi nikajua tu anataka anipe mambo. Sasa nikazuga ili kumpotezea, mara ananiambia naogopa kulala peke yangu, nikawa si comment chochote, mwisho akaniambie, naomba uje home leo usiku hali anajua mi nina mke.

Sipendi kufanya mapenzi kwa kutumia condomu na pia kama siijui afya ya mwanamke sipo tayari kufanya mapenzi. Kwa vile huyo msichana ametokea kunizimia, nami sina mazoea naye sana ( siijui background yake) naogopa kumvunja moyo. Simuelewi anataka mapenzi au anataka pesa zangu
Nifanyeje wakuu ili nisimkatishe tamaa, yaani amenilazimisha sana.
we ni mtu mzima tumia busara zako hapo
 
Nenda ukamsikilize lakini usisahau nondo muhimu sana, hujui usalama wake na asije kukubambikizia ujauzito usiokuhusu.

Back
Top Bottom