Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Dah, kuna demu umri wake yapata 20yrs mimi nina 40 yrs. Huyu msichana alikuwa anaonyesha kunitaka lakini nampotezea sana, sasa leo amenitega kweli, amenikuta sehemu yangu ya kazi kaanza kunipigisha story mara dada yangu kasafiri( anaishi kwa dada yake), mi nikajua tu anataka anipe mambo. Sasa nikazuga ili kumpotezea, mara ananiambia naogopa kulala peke yangu, nikawa si comment chochote, mwisho akaniambie, naomba uje home leo usiku hali anajua mi nina mke.
Sipendi kufanya mapenzi kwa kutumia condomu na pia kama siijui afya ya mwanamke sipo tayari kufanya mapenzi. Kwa vile huyo msichana ametokea kunizimia, nami sina mazoea naye sana ( siijui background yake) naogopa kumvunja moyo. Simuelewi anataka mapenzi au anataka pesa zangu
Nifanyeje wakuu ili nisimkatishe tamaa, yaani amenilazimisha sana.
Mlete kwangu nikuepushe na kumvunja moyo!
 
Angalia usiende kichwa kichwa unaweza ukaliwa huko,wewe nenda ukaone
 
Nyie ndo mnaoitwa 'mafataki'
Haiwezekani mtu unadai una 40 bado unatumia kauli kama za 'demu'. . . Mwandiko wa kivulana kabisa huu

Ushauri[emoji117]usimvunje moyo uyo mdada wa watu ila jaribu ku-prove kwake how much of a 'penguin' you are. . . Naamini ata-give up whichever interest she has on you
 
Huo mwandiko tuu wewe ndo una 20 mwandiko wa mwanaume unajulikana bhana
 
Hahahahah eti nina 40 years.
Maamuzi ambayo barobaro wa 18 years anayafanya tena kwa uwekevu murua.
Kibabu wewe unashindwa mpaka uje uchezeshe sharubu zetu hapa jukwaani.
 
Back
Top Bottom