X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,719
- 14,847
ASANTENI KWA USHAURI WAKUU...
Sasa wote hamna kazi, unato wapi pesa ya kumnunulia gesi ilhali Mama yako anatumia jiko la mkaa, halafu unatoa huduma zote hizo hadi kwao lakini bado unasema ni Mpenzi wako, tafakari kwanza unachohitaji kutoka kwa Mwanamke wa maisha yako.nisaidie mkuu ivi mtu kama huyo ungemuelewaje? ukizingatia wote atuna kazi?
Ikiwa aliomba vitu kuna kosa gani kupewa vituSasa wewe kwa nini usimpe pesa afanye anayotaka? Unanunua vitu kwani yeye mtoto