shalet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 3,441
- 3,613
My thoughts exactlyUna miaka 40 kweli?
au wewe ndo mwenye 20 huyo dada ana 40?
My thoughts exactlyUna miaka 40 kweli?
au wewe ndo mwenye 20 huyo dada ana 40?
Kama huna uhakika na hafya yake we muulize"eti baby ulishatembea na wanaume wangapiDah, kuna demu umri wake yapata 20yrs mimi nina 40 yrs. Huyu msichana alikuwa anaonyesha kunitaka lakini nampotezea sana, sasa leo amenitega kweli, amenikuta sehemu yangu ya kazi kaanza kunipigisha story mara dada yangu kasafiri( anaishi kwa dada yake), mi nikajua tu anataka anipe mambo. Sasa nikazuga ili kumpotezea, mara ananiambia naogopa kulala peke yangu, nikawa si comment chochote, mwisho akaniambie, naomba uje home leo usiku hali anajua mi nina mke.
Sipendi kufanya mapenzi kwa kutumia condomu na pia kama siijui afya ya mwanamke sipo tayari kufanya mapenzi. Kwa vile huyo msichana ametokea kunizimia, nami sina mazoea naye sana ( siijui background yake) naogopa kumvunja moyo. Simuelewi anataka mapenzi au anataka pesa zangu
Nifanyeje wakuu ili nisimkatishe tamaa, yaani amenilazimisha sana.
Maswali muhimu haya. Nimejiuliza sijapata jibu. Post hii ilitakiwa iwe ya kijana aliye katika umri wa 20s. Mfikirie Zitto aliyetimiza umri huo atoe hoja kama hizo. AiseeeeeeUna miaka 40 kweli?
au wewe ndo mwenye 20 huyo dada ana 40?
Anaogopa papuchi itamuumizaNimeishia kucheka baba zima la miaka 40 linaogopa kubakwa sijui linaogopa mwanamke [emoji28][emoji28]wanaume wa Dar kazi kweli kweli
HahahhhAnaogopa papuchi itamuumiza
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] ushaur tu duhNjoo kwanguu sitaki pesa zakoo.[emoji1] [emoji2] [emoji3] ni ushauri tu napenda nikupe
Njoo kwanguu sitaki pesa zakoo.[emoji1] [emoji2] [emoji3] ni ushauri tu napenda nikupe