Paap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 1,493
- 1,401
Siri ya wanawake ni moja tu ili wasikusumbue
usitazame nini wanataka
Tazama nini wewe unataka na yupi atakufaa...baasi...
Sawa mkuu, nimekuelewa pia
Siri ya wanawake ni moja tu ili wasikusumbue
usitazame nini wanataka
Tazama nini wewe unataka na yupi atakufaa...baasi...
Mwanamke ni waziri mkuu. Mwaname ni rais. Mfanye waziri mkuu wako atende unayoyaamini bila kumlazimisha wala kumbughudhiKweli kabisa kipi cha kufanya maana nimekuelewa vilivyooo mkuu na shukran kwa uchambuzi wako
Utapewa hadi lini? Je ukikutana na boi venye anakupenda na bado ana vinje/cash? Na ukakutana na jua kali na anaupendo ule ule(usiniulize nimepimaje) kama wa chali ako na vinje.. Utachagua yupiMi pesa wala haina nafasi katika mapenzi. . . Napenda kupendwa tu na mchumba angu
Pesa baba angu ananipaga
Nitachagua ninayempenda zaidi kati yaoUtapewa hadi lini? Je ukikutana na boi venye anakupenda na bado ana vinje/cash? Na ukakutana na jua kali na anaupendo ule ule(usiniulize nimepimaje) kama wa chali ako na vinje.. Utachagua yupi
Aseeh. GraciousNitachagua ninayempenda zaidi kati yao
Hahaha sio wasayari hii[emoji1] [emoji1] [emoji1]Ni viumbe vya ajabu sana
Sawa mkuu nimekulewa hapo vzuri sanaMwanamke ni waziri mkuu. Mwaname ni rais. Mfanye waziri mkuu wako atende unayoyaamini bila kumlazimisha wala kumbughudhi
Hahahaha ustaki kunichekesha huwa mnasemaga ivo ivo mwisho wasiku unakunagundua kuwa unamshefaMi pesa wala haina nafasi katika mapenzi. . . Napenda kupendwa tu na mchumba angu
Pesa baba angu ananipaga
Ikikosekana inakuweje hapo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hela yakutumia iwepo na uanaume pia mkono mtupu haulambwi
Mkuu na inawezekana ukawa navyo vyote maana wengi wenye pesa huwa hawana muda wa kumridhisha mwanamke wanachojuwa wao kujiridhisha ww usio kuwa na kitu na utahakikisha unamridhisha maana ndo kete yako ya mwisho ukifeli hapo unaachwa[emoji2] [emoji2] [emoji2]Wana taka vyote, yaani ukiweza kumkuna vizuri na pesa unayo hapo habanduki ng'oooooo
Upo sahihi na ndomana wanayumba mkuu na kutuyumbishaSiku zote watoto wa kike hawajui wanataka nini
sawa....... nimepita.Matusi staki wala kejeli maana sijamtukana mtu wala kumkejeli mtu ukiona hulielewiii pita tu mbali mzeeee.....
Nawasilisha
Gracious too mi amorAseeh. Gracious
HahahaHahahaha ustaki kunichekesha huwa mnasemaga ivo ivo mwisho wasiku unakunagundua kuwa unamshefa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] pita tu mkuusawa....... nimepita.