afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,303
- 2,779
kama hujala mzigo basi tena....apo hakuna jipya ni kuchunwa tu...fanya ule ili muwe sawaHapo mwanzo alisema anaumwa jino nikampa pesa akang'oe hiyo pesa nilifosi sana maana nilikuwa sina ikapita sasa juzi nampigia simu apokei miss call zidi ya nne asubuhi miss call 2 jioni miss call.
2. Sasa jana akanibeep nikampigia baada ya salaamu ananimbia tumbo linauma yuko kwenye period nikamwambia pesa sina wangu unabahati mbaya na mie maana kila unapo kuwa na shida kwa kipindi hiki pesa nakuwa sina lakini usiwaze subiri mwezi ukigeuka nitakuwa vizuri.
Kwa sababu kuna vitu nilifanya ndivyo vilivyonigalimu mpaka nimeishiwa pesa sasa nikarudi kwenye point kwanini jana akupokea simu yangu. Kheeee!
Akanikatia simu wadau