Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Mapenzi sio pesa japo ikikosekana inaweza kuw shida sometimes,wanawake tunaridhika japo hata kwa vtu vdogo,kuna wanaume wengine hata wahafai,cjui ni ubahili au nn,utakut mwanamke na mwanaume ote wanafanyakazi na wanakipato lkn inakuw ngumu kwa mwanaume kumnunulia hata handcatchief mkewe,au walau hata vocha ,mwanaume hatoi hata senti kisa mkewe nae anakipato,kuna mapenzi hapo?
Kuna ishara nyingi za kuonyesha mwanaume anakupenda kweli..tatizo wadada mnaipa pesa priority no 1,ikibuma hiyo tayari unajudge disqualified.
 
Hapo mwanzo alisema anaumwa jino nikampa pesa akang'oe hiyo pesa nilifosi sana maana nilikuwa sina ikapita sasa juzi nampigia simu apokei miss call zidi ya nne asubuhi miss call 2 jioni miss call.

2. Sasa jana akanibeep nikampigia baada ya salaamu ananimbia tumbo linauma yuko kwenye period nikamwambia pesa sina wangu unabahati mbaya na mie maana kila unapo kuwa na shida kwa kipindi hiki pesa nakuwa sina lakini usiwaze subiri mwezi ukigeuka nitakuwa vizuri.

Kwa sababu kuna vitu nilifanya ndivyo vilivyonigalimu mpaka nimeishiwa pesa sasa nikarudi kwenye point kwanini jana akupokea simu yangu. Kheeee!

Akanikatia simu wadau
 
Hapo mwanzo alisema anaumwa jino nikampa pesa akang'oe hiyo pesa nilifosi sana maana nilikuwa sina ikapita sasa juzi nampigia simu apokei miss call zidi ya nne asubuhi miss call 2 jioni miss call 2. Sasa jana akanibeep nikampigia baada ya salaamu ananimbia tumbo linauma yuko kwenye period nikamwambia pesa sina wangu unabahati mbaya na mie maana kila unapo kuwa na shida kwa kipindi hiki pesa nakuwa sina lakini usiwaze subiri mwezi ukigeuka nitakuwa vizuri. Kwa sababu kuna vitu nilifanya ndivyo vilivyonigalimu mpaka nimeishiwa pesa sasa nikarudi kwenye point kwanini jana akupokea simu yangu. Kheeee! Akanikatia simu wadau
wahaya wanahusikia vipi? ama ni hiki kiswahili ulichoandika yeuwii sielewi
 
Hata mie wiki iliopita niliombwa hela ya kung'olea jino, mwanaume nikajipinda nikatoa msimbazi mmoja..! inaezekana aliekuchuna ni huyu huyu aisee..! maana siku ya kutaka kumdinya akasema anaumwa tumbo (bleed)..!
 
Back
Top Bottom