X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,719
- 14,847
nisaidie mawazo tuuDuh tetemeko la matunzo
nisaidie mawazo tuuDuh tetemeko la matunzo
nisaidie mkuu nifanyaje.dada Mungu anakuona
asante umeniongezea kitu...dah tusio na pesa kwa hali hii tutaishia kuwaita kinadada shemejiInawezekana ana overlook hayo unayomfanyia.
Mueleze kwamba hiyo simu niliyokununulia ndio sijali? Au unataka niwe nakupa pesa mkononi mama?
asante kwa kunifungua akili mzee mwenzangu...ila nitahakikisha vipi hilo.Kuna mtu pembeni ashajitokeza trust me..unamegewa bro
asante mkuu nimekuelewa sana sasa nifaje katika hilo nipo njia panda kijana mwenzio.Kushindwa kupo lakini hapaswi kuwa na kauli za kijinga namna hiyo kwani wangapi wenza wao wana smart kali tu zaidi ya maza inaonekana anataka kurenew contract from somewhere ndo maana sababu kibao anatoa, mimi katika maisha yangu hakuna kinachonikera kama kauli zinaweza kunifanya nimuache kabisa bila kutegemea. Anapaswa kumtia moyo mwanaume na sio kumchamba aende akaolewe sasa na NMB au M-PESA Pumba kabisa.
Ongea nae tu vzr kama ni mwelewa atakuelewakam
kama sina ndo nimesha mkosa...?
Wanawake wengine sio waelewa mkuu, tena hawathamini misaada midogomidogo, hata ukiwapa mikubwa kam magari pia watakuudhi tu.asante mkuuu nina mawazo sana ningekuwa mlevi ningelala baa leo
nifanyaje mkuu...ni kweli mimi bado sijakomaa kwenye mahusiano nishauri tafadhaliWanawake wengine sio waelewa mkuu, tena hawathamini misaada midogomidogo, hata ukiwapa mikubwa kam magari pia watakuudhi tu.
Yaani ingekuwa mimi tena ningecheeka na kuendelea na mambo yangu kiroho safi.
Labda ndo unaanza mahusiano.
Hicho ni cha mtoto makubwa yanakuja jiandae
asante mkuu nitaufanyia kazi ushauri wako.Sasa mkuu mbna easy tu yale uliyokua unafanya kupitia kujiongeza yageuze kuwa cash then uwe unatuma same amount then ajue kua kutunzwa ni zaid ya kupewa hela.
Ikitokea shida/raha toa mchango then kaa kimya
Chakufanya hapo mwambie ajirekebishe na kauli zake pili, mwambie maisha sio pesa kama hataki kubadilika achana nae vinginevyo utakunywa chai kwa mluzi.asante mkuu nimekuelewa sana sasa nifaje katika hilo nipo njia panda kijana mwenzio.