Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Mmmmmmn not real ulijali ndo muhimu, pesa hata bank inayo, embu usiwe unadindisha alafu tuone kama hujagongewa demu wako na wenzio ukaachwa na hela zako money is not everything, hela ina sehemu yake na mapenzi yana sehemu yake but sio kilaseemu unaweka pesa mbele aggah
Cc mamaafacebook

baelezee mama
 
yanaenda banah...mbona kuna watu hawana mipesa wana wapenzi tu na amani tele?
 
Kinachotakiwa sio mipesa...ccta! Ni pesa(uwezo wa kutegemewa)...utakufanya upate mpenz wa kutulia naye...kwa maana utamtunza.

Hao wasio na hela hawadumu na demu....pesa yao ni politics( uongo mwingi na majisifu fake) ili apate pappuch. Anyway..ni kama natoka nje ya mada..xory. Mahusiano ya kingono ambayo ni matokeo ya kuongopeana(ulaghai), sio mapenz hayo...ni utapeli.

Mapenz yatafsiriwe frm neno kupenda. Na wote wawili wapendane(hiari). Ukimhadaa mwenzako..na akaingia king kwa uongo wako..ayo sio mapenz...ila yaweza kuibuka mapenz baada ya mmoja kubaini ukweli.
 
Wote nyie mnaoongea pesa sio kitu, ndio watu wa kwanza kuwa na boyfriend wawili, mmoja wa ukweli, mwingine wa pesa ambae anakuweka mjini

Eish nan kakuambia mapenzi ni pesa kama ni pesa ulishawah kulipa bills zako kwa hug
 
tuna tumiaaa pesa pesaa.....tunatafuta pesa pesaa......
 
Wadau wote wa Jf habari za leo,Mungu awabariki sana.

Nina swala moja nataka kujiuliza kwenu kwamba hivi tokea nianze uhusiano na msichana ambaye ni mpenzi wangu haja wahi kuniomba hela.

Yaani mpaka mimi niamue kumpa kiasi fulani cha ndio anapokea, lakini yeye huwa hawezi kuniomba hela. Hivi nikwanini ebu naombeni mnisaidie kwaupande wa uzoefu wenu pamoja na mawazo yenu.
 
Mkiombwa tabu,msipoombwa tatzo pia.we shukuru Mungu hauna presha za mizinga isio na mpango
 
Back
Top Bottom