Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

labda mdada alimfatia mwanamme michuzi ya kipolisi, mojawapo ya sababu wanaume kuwaacha wanawake ni kupenda pesa sana na kudharau upendo wa dhati,kingine dont do sex till marriage,if he loves you trully,he will still stick to you...tatizo wanawake wengi wanaachia papuchi kirahisi ili kuwa mlango wa franca..inakuwa business..samahani kwa offensive words
Kwani hiyo papuchi we unalazimishiwa? Unaomba ili unyimwe? Tubane kwani si hatutaki utamu?
 
INATEGEMEA NA HULKA YA MWANAMKE HUSIKA..NASHUKURU MUNGU KANIPA AKILI..YA UTAFUTAJI NA KUMSAIDIA MWANAUME NTAEKUWA NAE BT MWANAUME LAZIMA AWEZE KUJIKIMU CZ HATA MUNGU ALIAMURU ATAKULA KWA JASHO LAKE.
NKIKUTA ANAMILIKI SUPERMARKET THEN AKAPOROMOKA HADI KUUZA GENGE LA NYANYA UTAKUWA WAJIBU WANGU KUMUINUA ARUDI KULE JUU ALIKOTOKA..SIJUI KAMA NITAWEZA KUMKIMBIA AKIPATA SHIDA MIMI...
Imetulia sana hii
 
Mbona kuna wanaume wanapenda pesa pia,
Ukiwa nawe kwenye uhusiano kama vile unalipa deni kudadeki
 
Kila kitu pesa...heshima pesa....mapenzi pesa lol hatariii.
Nawakumbusheni, pesa sio kila kitu katika maisha yako
 
INATEGEMEA NA HULKA YA MWANAMKE HUSIKA..NASHUKURU MUNGU KANIPA AKILI..YA UTAFUTAJI NA KUMSAIDIA MWANAUME NTAEKUWA NAE BT MWANAUME LAZIMA AWEZE KUJIKIMU CZ HATA MUNGU ALIAMURU ATAKULA KWA JASHO LAKE.
NKIKUTA ANAMILIKI SUPERMARKET THEN AKAPOROMOKA HADI KUUZA GENGE LA NYANYA UTAKUWA WAJIBU WANGU KUMUINUA ARUDI KULE JUU ALIKOTOKA..SIJUI KAMA NITAWEZA KUMKIMBIA AKIPATA SHIDA MIMI...
Wenye fikra hizi mmebaki wa kutafutwa kwa microscope wengi wanajua kuchuna tu tena bila hata ya kuchinja duh maumivu.
 
Kuna wanawake waliowavumilia wapenzi wao wakat wa umaskini. lakin wanaume walipozipata waliwaacha wake zao na kuchukua wanaowapenda. kuna wanawake waliotafutia wapenz wao ajira sehem nzuri tu, lakin baada ya kupata kaz waliwapuuza. kuna wanawake waliotoa vyao kwa ajil ya wapenz wao, lakin hao nao walihonga wawapendao. life is cycle, love is cycle.
Kula tano mtuwangu[emoji109]
 
Upendo uliishaga kabla Tanzania haijapata Uhuru sasa hivi labda uugumie tu.

Mwanaume zake pesa babu hayo maneno peleka kwenye bongo fleva watungie mashairi, upendo upendo tutavaa na kula huo upendo???

Wee unakazana kuandika Uzi huku wenzako wako bize wanazisaka ukikimbiwa unalia.
 
Pesa iko mbele kila mahali siku hizi sio kwa wanawake tu, ukitaka kukubalika ktk jamii unapaswa ujiweze(angalau uwe na hela ya kubadilisha mboga) otherwise unaweza kulaumu watu ooooh hawakujali, hawakupendi n.k
Namna hii watu wanafanya ufisadi na maovu mengine mengi tu kupata pesa,ili kuridhisha wapenzi/wake au jamii unayosema..true love goes beyond money even though money wears out,true love will remain to stand,upendo wa ukweli hautoki mwilini bali unatoka rohoni.
 
Upendo uliishaga kabla Tanzania haijapata Uhuru sasa hivi labda uugumie tu.

Mwanaume zake pesa babu hayo maneno peleka kwenye bongo fleva watungie mashairi, upendo upendo tutavaa na kula huo upendo???

Wee unakazana kuandika Uzi huku wenzako wako bize wanazisaka ukikimbiwa unalia.
Kwa hiyo,huyo uliye naye huna upendo wa dhati kwake?
 
Upendo uliishaga kabla Tanzania haijapata Uhuru sasa hivi labda uugumie tu.

Mwanaume zake pesa babu hayo maneno peleka kwenye bongo fleva watungie mashairi, upendo upendo tutavaa na kula huo upendo???

Wee unakazana kuandika Uzi huku wenzako wako bize wanazisaka ukikimbiwa unalia.
Telz them in Swahili pls
 
Kama bunduki na polisi kaka!Mwanamke anayekuja kwangu maskini ina maana akina Manji akina Mengi hawamtaki!

Huo ndiyo ukweli,angekuwa na mchongo na mwenye pesa asingekuja kwetu kugombania Daladala anapoenda Kariakoo
 
Mapenzi sio pesa japo ikikosekana inaweza kuw shida sometimes,wanawake tunaridhika japo hata kwa vtu vdogo,kuna wanaume wengine hata wahafai,cjui ni ubahili au nn,utakut mwanamke na mwanaume ote wanafanyakazi na wanakipato lkn inakuw ngumu kwa mwanaume kumnunulia hata handcatchief mkewe,au walau hata vocha ,mwanaume hatoi hata senti kisa mkewe nae anakipato,kuna mapenzi hapo?
 
Back
Top Bottom