Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Kuna wanawake waliowavumilia wapenzi wao wakat wa umaskini. lakin wanaume walipozipata waliwaacha wake zao na kuchukua wanaowapenda. kuna wanawake waliotafutia wapenz wao ajira sehem nzuri tu, lakin baada ya kupata kaz waliwapuuza. kuna wanawake waliotoa vyao kwa ajil ya wapenz wao, lakin hao nao walihonga wawapendao. life is cycle, love is cycle.
SIO LAZIMA KUMPA CHOCHOTE,LAKINI USIMUACHE KISA PESA,HALAFU MWANAUME ANA UPENDO WA DHATI,NA UPENDO WA DHATI NI DHAHIRI,HAUFICHIKI,MAIGIZO YANAJULIKANA TU...MBONA WATU WATU WANAANZA WAKIWA LEVEL YA CHINI WOTE WAWILI LAKINI WAKAFANIKIWA SANA,KIASI AMBACHO MWANAMME YUKO PROUD NA MWANAMKE WAKE,NA MWANAMKE PIA YUKO PROUD NA MWANAMME WAKE,INAKUWA BOND IMARA SANA..BOND ILIYEJENGWA KWA MSINGI WA UPENDO WA DHATI...NA PIA HUWEZI KUSEMA BENKI ZISIKOPESHE KISA WATU WENGINE HAWALIPI,AMBAO HAWAKULIPA,JE NI KWA SABABU GANI? MWANAMME MWENYE UPENDO WA KWELI UTAMJUA TUU,NI KUWA MAKINI.
 
"Money and love are two sides of the same coin "
THAT MEANS,SOMEONE WITH INADEQUATE MONEY CANT LOVE??...AFTER ALL NO ONE LIVES IN THIS WORLD WITHOUT MONEY AT ALL...I MEAN TAKE HIM AS HE IS..AS LONG AS HE HAS TRUE LOVE...HELP HIM TO FLY,HELP HIM TO FLOAT,DONT LOVE JUST BECAUSE HE IS ALREADY FLYING OR ALREADY FLOATING..SHOW HOW MUCH YOU PUT MORE VALUE TO LOVE THAN YOU DO TO MONEY.
 
Sio lazma awe na mipeeeesa awe nazo tu hata za kawaida, pesa inaongeza furaha....
Hayo mambo ya kumsaidia mtu kufly mmmh unadhani walosema maskini akipata massaburi hulia pwata hawakuona? Mara kibao watu wasio navyo wakipata wanawatosa waliokuwa nao enzi hizo wanatoka jasho la shida, kimtu unakutana nacho hakina elimu basi kikisoma Oooh siwezi kuoa asie na elimu, vingine geto kana kikombe tu na jagi la TOKYO hata kijiko hakana chai kanakorogea mswaki siku kakitoka kanakuona kiazi.
Akhaaaa walimwengu mie siwawezi, SHIDA ZAKE SHIDA ZAKE RAHA ZAKE RAHA ZANGU
 
Umenifurahisha sana..hasa hapo kuhusu jag la tokyo na kukorogea mswaki...inanikumbusha maisha ya getto kitambo sanaaaa. amakweli wewe ni kuku wa kienyeji.
 
SIO LAZIMA KUMPA CHOCHOTE,LAKINI USIMUACHE KISA PESA,HALAFU MWANAUME ANA UPENDO WA DHATI,NA UPENDO WA DHATI NI DHAHIRI,HAUFICHIKI,MAIGIZO YANAJULIKANA TU...MBONA WATU WATU WANAANZA WAKIWA LEVEL YA CHINI WOTE WAWILI LAKINI WAKAFANIKIWA SANA,KIASI AMBACHO MWANAMME YUKO PROUD NA MWANAMKE WAKE,NA MWANAMKE PIA YUKO PROUD NA MWANAMME WAKE,INAKUWA BOND IMARA SANA..BOND ILIYEJENGWA KWA MSINGI WA UPENDO WA DHATI...NA PIA HUWEZI KUSEMA BENKI ZISIKOPESHE KISA WATU WENGINE HAWALIPI,AMBAO HAWAKULIPA,JE NI KWA SABABU GANI? MWANAMME MWENYE UPENDO WA KWELI UTAMJUA TUU,NI KUWA MAKINI.

Umetoboa mule mule.

Binafsi kwanza kabisa si date mwanamke mburulaz (elimu ndogo sio tija), njaa, asiyejituma na asiyejua hangaika on her own means (such women can never have my respect).

Yes, wapo chicks wazuri wasio na tamaa za kijinga za maisha na wahangaikaji.
 
Umenifurahisha sana..hasa hapo kuhusu jag la tokyo na kukorogea mswaki...inanikumbusha maisha ya getto kitambo sanaaaa. amakweli wewe ni kuku wa kienyeji.
We ndo wa kienyeji kwelikweli teh me hayo nlikua nayaona chuo
 
SIO LAZIMA KUMPA CHOCHOTE,LAKINI USIMUACHE KISA PESA,HALAFU MWANAUME ANA UPENDO WA DHATI,NA UPENDO WA DHATI NI DHAHIRI,HAUFICHIKI,MAIGIZO YANAJULIKANA TU...MBONA WATU WATU WANAANZA WAKIWA LEVEL YA CHINI WOTE WAWILI LAKINI WAKAFANIKIWA SANA,KIASI AMBACHO MWANAMME YUKO PROUD NA MWANAMKE WAKE,NA MWANAMKE PIA YUKO PROUD NA MWANAMME WAKE,INAKUWA BOND IMARA SANA..BOND ILIYEJENGWA KWA MSINGI WA UPENDO WA DHATI...NA PIA HUWEZI KUSEMA BENKI ZISIKOPESHE KISA WATU WENGINE HAWALIPI,AMBAO HAWAKULIPA,JE NI KWA SABABU GANI? MWANAMME MWENYE UPENDO WA KWELI UTAMJUA TUU,NI KUWA MAKINI.
Hizo bond za hivo katika kumi hazizidi mbili, ya nini kucheza Pata potea
 
Japo pesa siyo mapenzi lakini katika mapenzi,pesa ni kitu muhimu sana. Kulialia kila siku kuwa huna pesa,huna hiki au kile hufukuza hata mwanamke aliekupenda kwa dhati labda awe ambae amelelewa vipi sijui.
 
Pesa iko mbele kila mahali siku hizi sio kwa wanawake tu, ukitaka kukubalika ktk jamii unapaswa ujiweze(angalau uwe na hela ya kubadilisha mboga) otherwise unaweza kulaumu watu ooooh hawakujali, hawakupendi n.k
 
Mwanamke anayejua maisha ni nini hii mada haimuhusu kabisa. Ila sasa wale machepele wanaojiagalia kwenye kioo 27/7 mada hii inawahusu.
 
Utashangaa demu anakumwaga anaenda kwa kibabu kisa mpunga haiangaliwe sura hayo mapenzi ya kweli waliondoka nayo bibi na babu zetu
Na mkionyeshwa mapenzi ya kweli mnatufanya mazezeta.......mmetuharibu wenyewe.....sasa hivi mnalalamika
 
Sio lazma awe na mipeeeesa awe nazo tu hata za kawaida, pesa inaongeza furaha....
Hayo mambo ya kumsaidia mtu kufly mmmh unadhani walosema maskini akipata massaburi hulia pwata hawakuona? Mara kibao watu wasio navyo wakipata wanawatosa waliokuwa nao enzi hizo wanatoka jasho la shida, kimtu unakutana nacho hakina elimu basi kikisoma Oooh siwezi kuoa asie na elimu, vingine geto kana kikombe tu na jagi la TOKYO hata kijiko hakana chai kanakorogea mswaki siku kakitoka kanakuona kiazi.
Akhaaaa walimwengu mie siwawezi, SHIDA ZAKE SHIDA ZAKE RAHA ZAKE RAHA ZANGU
Anayekupotezea mda utamjua tu mapema kabisa kama upo makini,halafu hakuna mtu asiyekuwa na pesa kabisa ktk dunia hii,ila ridhika na kile anachokupa kulingana na uwezo wake kwa wakati huo,kuonesha haujafata pesa kwake ila mapenzi na unaappreciate care anayokupa kulingana na uwezo wake...je si vizuri hivi??
 
We wasema, tungekua tunawajua wapoteza muda wala tusingekaa kulia lia...... Jana kuna thread nimeona eti police kazaa na dada mmja after five year a namwambia hajiskii tena kuwa nae anampa go ahead mxyuuuu go ahead my a.s.s
mambo ya kifilipino kumvumilia mtu kwenye shida weee af akipata anapeperuka hapana asee, tena shida za kuanza nae nop bora apate shida nipo nae yani ameyumba ntamsapoti
 
INATEGEMEA NA HULKA YA MWANAMKE HUSIKA..NASHUKURU MUNGU KANIPA AKILI..YA UTAFUTAJI NA KUMSAIDIA MWANAUME NTAEKUWA NAE BT MWANAUME LAZIMA AWEZE KUJIKIMU CZ HATA MUNGU ALIAMURU ATAKULA KWA JASHO LAKE.
NKIKUTA ANAMILIKI SUPERMARKET THEN AKAPOROMOKA HADI KUUZA GENGE LA NYANYA UTAKUWA WAJIBU WANGU KUMUINUA ARUDI KULE JUU ALIKOTOKA..SIJUI KAMA NITAWEZA KUMKIMBIA AKIPATA SHIDA MIMI...
 
vizuri sana,mungu akusaidie kuwa na mwenye kujua thamani yako.
 
We wasema, tungekua tunawajua wapoteza muda wala tusingekaa kulia lia...... Jana kuna thread nimeona eti police kazaa na dada mmja after five year a namwambia hajiskii tena kuwa nae anampa go ahead mxyuuuu go ahead my a.s.s
mambo ya kifilipino kumvumilia mtu kwenye shida weee af akipata anapeperuka hapana asee, tena shida za kuanza nae nop bora apate shida nipo nae yani ameyumba ntamsapoti

labda mdada alimfatia mwanamme michuzi ya kipolisi, mojawapo ya sababu wanaume kuwaacha wanawake ni kupenda pesa sana na kudharau upendo wa dhati,kingine dont do sex till marriage,if he loves you trully,he will still stick to you...tatizo wanawake wengi wanaachia papuchi kirahisi ili kuwa mlango wa franca..inakuwa business..samahani kwa offensive words
 
Back
Top Bottom