Kwahiyo umeamua umchafue ili ujisafishie njia eeh!!Ndugu yangu katekwa na jimama la Kipemba.... Hata Jumuiya haendi tena...
Ila kizuri mtu hula na nduguye.... Ukinihitaji usisite kunitafuta
Uchoyo tu, huna lolote.Kwahiyo umeamua umchafue ili ujisafishie njia eeh!!
Shindwaaa🤣🤣🤣🤣
Hilo kila mtu analijua. Si aliniambukiza yule mchepuko wako unayemfanyia tabia mbaya....Babu unataka nitoboe siri kuwa unameza vidongo vya ile kitu ya kusogeza siku?
Sielewi hata dada yangu nahis ameniloga maana kuna siku alisafiri akaenda sumbawanga akarudi na dawa za kufukiza kwnye kachumba ketu kamoja😥Hivi mdogo wangu kwani ulimkosea nini Mungu kikubwa hivyo hadi ukakutana na hili jinamizi National Anthem a.k.a community property🙆🙆🙆
Bora kajitoa kwenye mpambanoWewe pambania kombe tu dada huenda amesusa wewe kula[emoji7][emoji1787]
Mbona wivu😂😂😂
Anajiandaa kwa mashambulizi
Mtu asimtaje Sky Eclat huyo ni wangu![emoji16][emoji16]
Hapa Mimi nakosa wa kutoka nae ukizingatia wote wa walioko hapa ni wahitim wa vyuo vikuu tofauti.
Jamani nioneini huruma mtoto wa mwanamke mwenzenu, japo ni Vll E , passport ninayo na kanauli kakuvuka mpaka 1 TU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe usiwe mchovu, si eti eeh?Nitatoka na Mtu atakaye kibali kutoka na mie ila asiwe mchovu