Mzee baba legend National Anthem naona unakaribia kutundika daruga. Tasnia ya uchakataji mbususu umeitendea haki š¤£š¤£š¤£š š š mkuu huchoki kufanya matusi
sie bado vijana hatujamaliza bado š š š
Mie namalizia ngwe ya mwisho mwisho namuachia game Mzee wa kupambania
soon nafunga ndoa takatifu šš nipo hapa nasaka mke ambae atakuwa amefanana na mie
Bora umeweka wazi hapa nitapangwa tuKwahiyo huyu ni mpya? Au ndio yule ulikuwa nae jana?
Listen my love.Bora umeweka wazi hapa nitapangwa tu
Ulikuwa na sisi wapi? Uongo mimi sijuiššš
Kama una komwe basi ndio wewe, kama huna basi itakuwa alikuwa ni mfanyakazi mwenzie.Bora umeweka wazi hapa nitapangwa tu
Na yule wa mchana mlikuwa mnamgombania na National Anthem je?Listen my love.
Humu watu wana wivu sana niamini.
Hakika ukiwa wangu hutojuta
Hahaha š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Kama una komwe basi ndio wewe, kama huna basi itakuwa alikuwa ni mfanyakazi mwenzie.
Karibu nyumbani wifi yangu.
Acha uoga shemeji.Kwa hizi identity, unaweza kudate mtu kumbe dume mwenzako japo kuna wachache wamejiweka wazi
wewe zilipendwa š š š ndio nakuibia siri, šššKwahiyo unasoma mioyo siku hizi?
Natundika daruga kistaaš šMzee baba legend National Anthem naona unakaribia kutundika daruga. Tasnia ya uchakataji mbususu umeitendea haki š¤£š¤£š¤£
MmhTake self ujue unapigania Nini kesho mpige self muone kazeeka .
Mume ametukanwa !?? Kwa lipii??
Madam unajua matusi ??
Ngoja nikupe mfano ya vitu vya mtu kama mie. I think umeerewa vitu vidogo pesa pia ipo mtoko wa mumeo mwisho wapi??
Dubai au Newyork kwenye zile hotel za five stars??
Sie matamanio ndio haya bibie pole umekosea njia
UmeƧhukua wapi picha yangu mkuušMimi nikiwa na Babe wangu wa JF katika mishe za mtoko wa mwisho wa mwakaššš
View attachment 2445928
Mwanafunzi mjeuri šš usie taka mfata mwalimu kwakeUmeƧhukua wapi picha yangu mkuuš
Wifi bahati mbaya Sina komwe nilipishana nalo,Kama una komwe basi ndio wewe, kama huna basi itakuwa alikuwa ni mfanyakazi mwenzie.
Karibu nyumbani wifi yangu.