Utatoka na nani wa JF?

Utatoka na nani wa JF?

Weeeeeh!! Mimi niishi single mimi? Ili nigundue mbadala wa O2 au😳😳😳😳😳

Akuuu, vuta mwenyewe.

😅😅😅 kwani tunao ishi single tunagundua nini zaidi ya kupigika tu, na hatuna kibali mbele za Bwana ila tuna kibali cha uhuru usio na mipaka
 
😅😅😅 kwani tunao ishi single tunagundua nini zaidi ya kupigika tu, na hatuna kibalo mbele za Bwana ila tuna kibali cha uhuru usio na mipaka
Mkuu wewe matawi sana na Mzee wa kupambania
Niliwaona mnajadili watoto wa kimataifa mara mnaenda Taiwani mara Malaysia kutuliza hamu zenu mnarudi bongo.

Nyie ni wa moto sana.
Sisi na ERoni tupo na wazee wenzetu akina Cillah humu🤣🤣🤣
 
😅😅😅 mkuu huchoki kufanya matusi

sie bado vijana hatujamaliza bado 😅😅😅

Mie namalizia ngwe ya mwisho mwisho namuachia game Mzee wa kupambania

soon nafunga ndoa takatifu 😁😁 nipo hapa nasaka mke ambae atakuwa amefanana na mie
 
Najua huo uhuru usio na mipaka ndio unaoutaka. Huo uhuru sio mzuri. Ndio manaa unavuta vitu vya ajabu.
 
Nani aje kumalizia na kopo lililotumika dunia nzima?🤣🤣🤣🤣
Cillah?
 
Mkuu wewe matawi sana na Mzee wa kupambania
Niliwaona mnajadili watoto wa kimataifa mara mnaenda Taiwani mara Malaysia kutuliza hamu zenu mnarudi bongo.

Nyie ni wa moto sana.
Sisi na ERoni tupo na wazee wenzetu akina Cillah humu🤣🤣🤣
Hebu liache lizee langu lisilo na hela asijejing'ata na hata bima ya afya hana🤣🤣🤣🤣
 
Najua huo uhuru usio na mipaka ndio unaoutaka. Huo uhuru sio mzuri. Ndio manaa unavuta vitu vya ajabu.
😅😅😅 sipendi haya mambo, acha niendelee tumia uhuru wangu ipasavyo
Screenshot_20221215_172830_com.whatsapp_edit_142000596457498.jpg
 
Back
Top Bottom