Aaah kumbe Balozi upo katikati kuweka mambo sawa,Naomba nikuambie, hutajuta nakuhakikishia🤣🤣🤣
Huu mwandiko umekukataa kabisaHapana rafiki, nimenyooka kama rula.
Ukiwa wewe na utakuwa wewe tu.
Na nitaitangazia dunia kuwa mimi ni wako kabisa ili ujiachie
Naomba nikuhakikishie, huyu ni kijana wangu namuaminia kabisa. Atautangazia umma ili uwe huru. Hem mkubalie kijana nae ale mema ya nchiAaah kumbe Balozi upo katikati kuweka mambo sawa,
Ndugu Balozi kweli upo tayari kubeba hili
Kwenye Zaburi Daudi aliandika hivi:Huu mwandiko umekukataa kabisa
Hatari 😂😂🙌Kwenye Zaburi Daudi aliandika hivi:
Onjeni muone kuwa Bwana ni mwema.
Nakushauri thubutu kuwa wangu hutojuta mrembo😍
Jitahidi mkuu muda ni mchache mafisi wasituwahi🤣Kwenye Zaburi Daudi aliandika hivi:
Onjeni muone kuwa Bwana ni mwema.
Nakushauri thubutu kuwa wangu hutojuta mrembo😍
Siriazi mrembo come to meHatari 😂😂🙌
Hahahaaaaa mkuu ana rasta?ni nani huyo?Kuna mrembo mmoja nimemuona humu anazunguka zunguka tu na rasta zake; ebu zungumza naye jambo.
mzabzab nae mtu 😅😅😅Bora angekupasua kichwa tukajua kichwa kimepasuka, huyo ana mambo yake mengi...muulize National Anthem atakuambia🤣🤣🤣
Kipozeo ndio nini?Mim sina mchumba sina, sina kipozeo, sina kishikwambi nipo kama sipo hapa ndani.