Utatoka na nani wa JF?

Utatoka na nani wa JF?

Wifi bahati mbaya Sina komwe nilipishana nalo,
Ngoja niwaache na familia yenu🙌
Siwezi pangwa kama behewa za SGR
Hebu twende taratibu wifi yangu. Yule atakuwa ni yule mfanyakazi mwenzie.

Hatimae kaka yangu Glenn ananitambulisha mwanamke kwa mara ya kwanza!! Sasa naamini amekua na amependa.

Karibu sana wifi.
 
Back
Top Bottom