Hachoki kunisagia kunguni huyu mwamba, ngoja na mimi nimsake kwenye radar, atakoma🤣🤣Mzee wa fitna
Asingenipa kazi ya kumtafutia mjamaa wa Ki Brazil 😅😅😅Mkuu ungejua huyu mke wangu tumetoka nae wapi, hata uniambie kuna jamaa alimuweka jana mimi walaaa...🤣🤣
Huko Brazil hakuna kitu, ashanikubali na uzee wangu🤣🤣Asingenipa kazi ya kumtafutia mjamaa wa Ki Brazil 😅😅😅
Then watakusingizia wewe 😂😂😂Fisi kaanza mambo yake!!
Thats my man❤️❤️❤️Nakupenda sana mke wangu, una kila kitu changu🤣🤣
kaibiwaThats my man❤️❤️❤️
Kuna kirusi National Anthem anachochea ubaya lkn wapiKuta zetu zipo imara kabisa. Watashindanaa, lakini hawatoshinda.
Hayo ndio makitu gani yani?😂😂😂😂😂😂
Huyu ndio yule mwenye komwe au yule shombe shombe?
😂😂😂😂😂 Kirusi!!Kuna kirusi National Anthem anachochea ubaya lkn wapi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂
Huyu ndio yule mwenye komwe au yule shombe shombe?
Na kaniiba hadi mimi😂😂😂kaibiwa
Nyoosha maelezo sasa😂Hayo ndio makitu gani yani?