kafika mwenye mume wake 😅😅😅😂😂😂😂😂
Kiroboto wewe!
😅😅😅 anakuhujumu huyo binti, unapendezea mno na hubby wako ERoni😂😂Shangaz Yako kiuno kigumu kama engine ya lori huu mwaka nitalia sana
Kwakweli mm mwenyew mgeni maeneo haya ngoja niulize wenyejiHabari za wewe na mume wangu ERoni
najua wewe na ERoni watu wazima kayamalizeni chumbani basi msiwape faida wadau hapa😂😂Kha
😅😅😅 shangazi huyo anataka haribu penzi lako tuu 😆😆😆Habari Gani Tena hizo?
Sophy acgana na huyu Anthem, anakuhangaisha tu hapa mtoto wa watu badala ya kulala anakuletea vitu havielewekiKwakweli mm mwenyew mgeni maeneo haya ngoja niulize wenyeji
National Anthem
ERoni kwani hapa ni wapi😀
😆😆😆 weee zilipendwaaa, muachie ERoni ale vitu teketekeBinti kuna habari nazisikia sizielewi elewi. Unajiamini nini?
😅😅😅 sema una bahati ya kupendwa na vitu vizuri vizuri.. alafu huna noma unawapanga tuu kila mtu na moyo wakeYeye ni zilipendwa, zinapendwa na zitaendela kupendwa..baby Cillah njoo bedroom kwanza
😅😅😅 Utu uzima dawa nimependa sana hekima zenu, hapo Cillah kaishakula chenga ya mwiliSophy acgana na huyu Anthem, anakuhangaisha tu hapa mtoto wa watu badala ya kulala anakuletea vitu havieleweki
🤣🤣🤣🤣😅😅😅 sema una bahati ya kupendwa na vitu vizuri vizuri.. alafu huna noma unawapanga tuu kila mtu na moyo wake
achana na ERoni mie ndio habari ya mjini nakupa urithi wote, nimebakiza miaka michache tu ya kuishi 😅😅😅 ubaki na mashamba yoteNiacheee!!