Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,192
- 35,370
Sawa Mkuu...Ndio, huo ndio ukweli.
Ratiba imejaa na ni ratiba nyeti kuliko.
Sawa Mkuu...Ndio, huo ndio ukweli.
Ratiba imejaa na ni ratiba nyeti kuliko.
hukunielewa mkuu.Ninekusoma mkuu🤣
Imeisha hii dia babuMy dia mjukuu, wewe sema neno moja na roho yangu itapona.
Binadamu uliyekamilika, inakuwaje ukose mtu?Tusiokua na watu tujuaneee[emoji2362]
Anaogopa mizinga ya hapa na palePamoja Mwana....
Kwamba huna ratiba ya kuonana na Mwana JF yoyote[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anaogopa mizinga ya hapa na pale
Napewaga tu Baby girl treatments....Na uzuri alionao kweli asipige mizinga?
🤣🤣🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka mno...
Huyu sio jobless, pili ni mcha Mungu, tatu ana malezi bora kabisa.Na uzuri alionao kweli asipige mizinga?
Habari zipi hizo mjomba!!
Madhara kwenye nini?
[emoji1787][emoji1787] lizee lako ambalo halina helaNachambwa na lizee langu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]