ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,665
- 127,433
Maisha yanataka hivyo, sifi leo wala kesho kwa kuwa sitapata stress. Ila hata wewe uko kama mimi tu mkuu.Ninakukubali unajua kuishi na watu sana mwamba
Maisha yanataka hivyo, sifi leo wala kesho kwa kuwa sitapata stress. Ila hata wewe uko kama mimi tu mkuu.Ninakukubali unajua kuishi na watu sana mwamba
Unajua vile nakukubali mtu wangu.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nilitegemea hili....sawa
Kuna raha sana kuishi kama mjinga flani ilhali unajua ukifanyacho🤣🤣Maisha yanataka hivyo, sifi leo wala kesho kwa kuwa sitapata stress. Ila hata wewe uko kama mimi tu mkuu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukauza mechi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji28][emoji28][emoji28]Wallah shem ile selfie ikajaa kwenye kiti, nikajisemea huyu Mungu amembariki zaidi, ukajaza vile viti vya cello, unekalia juu juu...hivi unakumbuka nilikuambia eh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Unajua vile nakukubali mtu wangu.
Ubarikiwe sana kwa wema wako.
Nisisubiri kutoa historia nikupe haki yako ukiwa hai.
Barikiwa mnoo
Mmmmh haaa heeee[emoji28][emoji28][emoji28]
Taratibu Shem wangu...
Pambania kombeDaaah!!
Ninayetoka naye Mimi katajwa na mwingine!
[emoji23][emoji23] we mzee nimeshindwa kuvumilia na kupita kimya mnisamehe tu bureCheupe mbona unafukua makaburi ya Unique tena[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] Halafu ukawa unachochea motoUlipitwa na wakati mzuri[emoji23]
Inauma sana auntie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pamoja na kupigwa mishale mingi we mzee kumbe waogaMkuu pale ni pa moto, hapaeleweki wallah! Ukiingia kizembe unaweza anikwa mchana kweupe[emoji1787][emoji1787]
Ndg yangu shunie...[emoji23][emoji23][emoji23] Halafu ukawa unachochea moto
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Inauma sana auntie
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mnanifurahisha nyie wanaume wawiliMaisha yanataka hivyo, sifi leo wala kesho kwa kuwa sitapata stress. Ila hata wewe uko kama mimi tu mkuu.
[emoji23][emoji23]Kuna raha sana kuishi kama mjinga flani ilhali unajua ukifanyacho[emoji1787][emoji1787]
Maisha mafupi mwanangu, kuzimu hakuna kucheka😄[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mnanifurahisha nyie wanaume wawili