Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,031
- 34,667
Za Wewe Boss?Phaller wangu hujambo?
Za Wewe Boss?Phaller wangu hujambo?
Hahahaha, mkuu una akili sana!Usimfananishe dadangu Unique Flower na Faiza Ally wa Sugu😅😅😅
Boss wa nini acha basiZa Wewe Boss?
Mume hana undugu Shem...

Acha basi😂Hahahaha, mkuu una akili sana!
Najua unajua....Au unataka kujua zaidi....Boss wa nini acha basi
Nataka kujua...ili usinipake samli kwa chupaNajua unajua....Au unataka kujua zaidi....
Habari gani tena mkuu, ujue huyu ni shem darling, ya kwake lazima niyajue.
Habari gani tena mkuu, ujue huyu ni shem darling, ya kwake lazima niyajue.




Cc Unique Flower 🤣🤣
We Mzee!!!
Unataka nifurumushwe na maneno siyo?
Dogo anamendea umalizane na vikoba ili atoke Arusha kukusalimia🤣🤣🤣Weeeee!!
Sijamaliza kuvunja vikoba vyote G...
Subiri kwanza![]()
Hahaha najua ushahudumiwa angalau chai nzito ndio maana ulimi mzito🤣Aaaah hapo sitii neno lolote mkuu, mimi bwana sina neno hapo..yaani sina neno kabisa la kusema mkuu.🤣
Aaaah hapo sitii neno lolote mkuu, mimi bwana sina neno hapo..yaani sina neno kabisa la kusema mkuu.![]()




