Utatoka na nani wa JF?

Utatoka na nani wa JF?

Mnavyojua tena mwisho wa mwaka, huwa kuna mambo mengi; ata kama ni bahili sana, itabidi kujichanga changa hata kidogo, angalau nawe uweze kusherehekea pale panapo wezekana.

Na sherehe inafana zaidi, pale unapokuwa na kampani au mwenza wako wa karibu.

Kwa upande wangu, mi nitatoka na huyu mdada mrembo matata yumo humu, mwenye sifa zifuatazo; ni mrefu wa wastani, umbo namba nane, mguu wa bia, weupe wa wastani, ana nywele ndefu, aombi sana ela, anaongea kwa staa, na anajua kushukuru hata kwa kile kidogo.

Kwa hisani ya huyo mrembo, atawapungia mkono popote pale ulipo.

Je wewe, utatoka na nani?

Wakati ukiwa unajishauri, pata kiburudisho:-


Tusiokua na watu tujuaneee
 
🤣🤣🤣 pamoja na yote mkuu, nisalimie Makiwendo popote mtakapokutana sikukuu hizi, kama ataenda migombani huko mwambie tu namsalimia🤣
Bahati mbaya sana majira ya sikukuu sina ratiba kukutana na mwana jf yoyote mkuu.
Tukijaaliwa na Mungu labda mwakani.
Lakini Makiwendo ni mwanangu sana hili siwezi kukana
 
Back
Top Bottom