Utatoka na nani wa JF?

Utatoka na nani wa JF?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huu ni msiba auntie!! Inabidi kikao cha ukoo cha dharura kikae. Sasa lizee halafu halina hela si balaa hili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] ndio vizuri auntie chaguo lako hilo mzeeke pamoja
 
Na bora kuendelea kupita kimya kimya!!! Maana hakuna fedheha kama kukataliwa hadharani[emoji23][emoji23][emoji23]

Japo kuna katoto kamoya siku ntajitutumua nitoke nako[emoji23][emoji23][emoji23] sasa hivi wacha niendelee kupitia huu mkeka mpaka kesho jioni hamna aliyekataja nakatokea
 
Back
Top Bottom