Clinical officer wa AIWewe ni Clinical officer sio daktar acha sifa za kijinga na diploma yako ya angalau d4
Una hoja usikilizwe, hapa wataalumu wanasemajeKwamba huo muwasho hausikiki mdomoni kwenye ulimi, unakwenda kusikika kwenye Anus?
Chakula mpaka kifike Anus, kinakuwa kimeshavunjwa vunjwa na kubaki makapi.
Sasa hiyo tomato, inawezaje kukwepa asidi kali za tumboni, ikawashe kwenye Anus?
Kuhusu tomato ya redgold huniambii kitu naipenda sana.Ketchup USA, Peptang Kenya, Dabaga (Iringa) Redgold (wahindi hawa ) Dar.
Wanaoafford ketchup ni wachache kwa vipato vyetu Tz, kama madai yako ni ya kweli basi dabaga na redgold waulizwe.
Haha ndio, Mi toka niko form one 🤣Kuhusu tomato ya redgold huniambii kitu naipenda sana.
Nikiona banda la chips hawatumii redgold huwa naghairi kununua
Ilipotea mwaka gani? Hiyo ketchup ina unyama? Nataka niijaribuHaha ndio, Mi toka niko form one 🤣
Kwa sisi wahenga kuna kipindi ilipotea, sijui kiwanda kilifilisika, tunaoipenda tulipata shida aiseee, dabaga ilikuwa mbaya kama imeekewa unga wadona, kumbuka wengi wetu kuafford ketchup meyooo, kwahiyo option ni dabaga…. ulikuwa tayari mkubwa? Au ulikuwa bado unaruka ruka rede.
Sina hakika lakini nadhani ni 2010-2011Ilipotea mwaka gani? Hiyo ketchup ina unyama? Nataka niijaribu
2010 bado nilikua siijui RedgoldSina hakika lakini nadhani ni 2010-2011
Ketchup ya (American garden) ni nzuri, ila siipendi sana ina kiharufu cha nyanya mbichi. (to me) wengi wanaipenda hasa watu fulani fulani . (mi siipendi hadi kuna familia fulani waliniambia mshamba nimezoea matomato ya mitaani)
Muda wote nataja ketchup nilikusudia ya American garden, yale yale ya kuita pedi zote always au sabuni za unga zote omo 🤣
I recommend Heinz, naiona tamu, haiko nzito sana wala lighter sana, haina kiharufu.
Ulikuwa mdogo genZ wetu wa JF.2010 bado nilikua siijui Redgold
Nitaijaribu
Jina hakihusiani na mada mezani..jitahidi kutumia kichwa badala ya makalio kufikiriBadili hiyo id yako walau isomeke Muwasho2030
Vinginevyo...hakuna cha maana kitakachochangiwa na watu wenye akili timamu humu kutokana na hilo jina.
Hapana sijasema zinatoka nje..ila inasabibisha muwasho..ingawa sijui kitaalamu inakuajeTomato zinatoka nje? Mimi nikajua ketchup ndio imported!
Hii id tu mkuuMheshimiwa napenda kuchangia hoja iliyopo mezani kama ifuatavyo. kwa kitaaluma mimi si daktari wala sijawahi kuwaza kuwa daktari ila nina machache ya kusema.
ieleweke kuwa kuna sababu za kisayansi na kiutafiti zinazoeleza kwa nini sosi hizo husababisha hali hiyo:
- ya kwanza uwepo wa asidi Nyingi (High Acidity): Nyanya hizi mnazotumia kiasili zina kiwango kikubwa cha asidi, na kwenye sosi za viwandani huongezewa siki (vinegar) ili zisiharibike. Asidi hii isipomeng'enywa kikamilifu tumboni, inapotoka wakati wa haja kubwa huwasha na kutesa ngozi laini na nyeti inayozunguka tundu la haja kubwa.
- pili kuna issue ya vihifadhio na Viungo (Preservatives and Spices): Sosi nyingi za chips huwekwa kemikali za kuhifadhi chakula, rangi, na wakati mwingine pilipili au viungo vikali ambavyo husababisha mzio (allergy) au mwasho (irritation) kwenye mfumo wa mwisho wa haja kubwa, hasa kwa watoto ambao ngozi zao ni laini sana.
- na tatu aina ya tomato Sosi (Local Processing): tomato Sosi nyingi zinazotumiwa kwenye maduka ya chips hupikwa kienyeji au kununuliwa kwenye madumu makubwa ambapo usafi au viwango vya kemikali vinavyowekwa havijathibitishwa, hali inayoweza kuongeza mwasho huo
- Nb badili hiyo Id yako , imekaa kikuda sana.
😀😀😀😀Hata Dar Kuna kiwanda cha tomato sauce,
Mashoga wajaalaana watapata kisingizio kingine baada ya kile cha kuwa na homon za kike,
Kwamba wanawawashwa kwa sababau ya tomato sauce,
Wewe makalio ya shangazi yakoI'd yako , inaonyesha hata ulicho andika ni takataka bila hata kusoma 🚮
Wapi nimeandika nauza tomato..estupideWateja watajazana pm soonest
Jadili unavyoweza..take it or leave itKwamba huo muwasho hausikiki mdomoni kwenye ulimi, unakwenda kusikika kwenye Anus?
Chakula mpaka kifike Anus, kinakuwa kimeshavunjwa vunjwa na kubaki makapi.
Sasa hiyo tomato, inawezaje kukwepa asidi kali za tumboni, ikawashe kwenye Anus?
Sawa mkuu..dawa nilimpa..na bado akaendelea kupata muwasho..hivyo baada ya kumuachisha hizo tomato ndio akawa sawahio ni dalili ya minyoo mkuu mpe mtoto mabendazole
pia tomato sauce nyingi za wauza chips ni zile za madumu ya lita tano hygiene yake inatia shaka uwezekano wa kubeba minyoo ni mkubwa mno