Jambo geni, muwapime na minyoo pia nimeanza kula chipsi nikiwa mtoto mdogo sana hiyo tomato haijawahi niletea hiyo shida!Hapana sijasema zinatoka nje..ila inasabibisha muwasho..ingawa sijui kitaalamu inakuaje
Kutokana na I'd yake, mie najitolea kumpelekea kidumu cha lita 5 buuureMheshimiwa napenda kuchangia hoja iliyopo mezani kama ifuatavyo. kwa kitaaluma mimi si daktari wala sijawahi kuwaza kuwa daktari ila nina machache ya kusema.
ieleweke kuwa kuna sababu za kisayansi na kiutafiti zinazoeleza kwa nini sosi hizo husababisha hali hiyo:
- ya kwanza uwepo wa asidi Nyingi (High Acidity): Nyanya hizi mnazotumia kiasili zina kiwango kikubwa cha asidi, na kwenye sosi za viwandani huongezewa siki (vinegar) ili zisiharibike. Asidi hii isipomeng'enywa kikamilifu tumboni, inapotoka wakati wa haja kubwa huwasha na kutesa ngozi laini na nyeti inayozunguka tundu la haja kubwa.
- pili kuna issue ya vihifadhio na Viungo (Preservatives and Spices): Sosi nyingi za chips huwekwa kemikali za kuhifadhi chakula, rangi, na wakati mwingine pilipili au viungo vikali ambavyo husababisha mzio (allergy) au mwasho (irritation) kwenye mfumo wa mwisho wa haja kubwa, hasa kwa watoto ambao ngozi zao ni laini sana.
- na tatu aina ya tomato Sosi (Local Processing): tomato Sosi nyingi zinazotumiwa kwenye maduka ya chips hupikwa kienyeji au kununuliwa kwenye madumu makubwa ambapo usafi au viwango vya kemikali vinavyowekwa havijathibitishwa, hali inayoweza kuongeza mwasho huo
- Nb badili hiyo Id yako , imekaa kikuda sana.
Kitu DabagaTomato zinatoka nje? Mimi nikajua ketchup ndio imported!
Ndio nini?Kitu Dabaga
Eneo maarufu kwa uzalishaji wa nyanya mkoani Iringa.Ndio nini?
Kumbe! Sasa mleta mada anajua wazungu ndio wanasabisha mitura inawasha!Eneo maarufu kwa uzalishaji wa nyanya mkoani Iringa.
ApuuzweKumbe! Sasa mleta mada anajua wazungu ndio wanasabisha mitura inawasha!
Ndio maana wadau wengi wanataka wakunwe huko!!!??Habarini wanajukwaa,mimi ni kama mzazi nimeamua nilete jambo hili mbele yenu ili kila mmoja kwa mtazamo wake aweze kuokoa kizazi chake kutokana na mashoga
Mimi nitajikita kwenye suala moja; suala la tomato zinazowekwa kwenye chips. Ndiyo, tomato hizi hizi.
Nilikuwa na mtoto ambaye alikuwa anawashwa kwenye tundu la haja kubwa. Mwanzoni nilidhani ni minyoo, hivyo nikampa dawa mara kadhaa, lakini tatizo halikuisha. Lilikuwa linapotea kwa muda kisha linarudi tena.
Siku moja nilikwenda kumnunulia chips kwa sababu anazipenda sana, na dada wa kazi hakuwepo kumpikia. Nikiwa hapo, nikamsikia mteja mmoja akisema asiwekeewe tomato kwa sababu zinawawasha watoto tundu la haja kubwa. Nilishangaa kuona kwamba hata muuza chips alikuwa analifahamu jambo hilo na hakuliona kuwa la ajabu kama mimi nilivyoliona.
Nami nikawaeleza kuhusu tatizo la mtoto wangu, wakasema huenda chanzo ni hizo tomato. Kwa kweli mtoto wangu alipenda sana kula chips zenye tomato, hata kachori na tomato. Basi nikamzuia kula tomato kwa namna yoyote ile, na tatizo likaisha.
Sasa ikiwa ni kweli kwamba kuna nchi za nje zinazolazimisha nchi yetu kukubali ushoga, je, watu watafanywaje kuwa mashoga? What if kuna vitu vinawekwa hata kwenye vyakula ili mtu ajisikie kuwashwa na kubongolewa? Inawezekana yapo mengi, lakini hili ni moja ambalo tunaweza kuliepuka kwa kujihakiki wenyewe.
Asante.
Tanzania kwanza
Nakutafuta bestApuuzwe
Wewe mpaka ukili yesu ni jibuTomato gani haiwashi mdomoni, ikawashie kwenye Anus?
Kwamba hiyo Tomato haimeng'enywi, inaenda direct mkunduni?
Unaogopa au 😄🙌😢Mie ikitokea nimekula chipsi, huwa siweki tomato wala PILIPILI.
Nazila kavu kavu nashushia na maji
😄😄😄😄😄 Cha tomatoKutokana na I'd yake, mie najitolea kumpelekea kidumu cha lita 5 buuure
FactWazungu wananufaikaje na ushoga hadi watake watoto wenu kuwa mashoga?
ChaiHabarini wanajukwaa,mimi ni kama mzazi nimeamua nilete jambo hili mbele yenu ili kila mmoja kwa mtazamo wake aweze kuokoa kizazi chake kutokana na mashoga
Mimi nitajikita kwenye suala moja; suala la tomato zinazowekwa kwenye chips. Ndiyo, tomato hizi hizi.
Nilikuwa na mtoto ambaye alikuwa anawashwa kwenye tundu la haja kubwa. Mwanzoni nilidhani ni minyoo, hivyo nikampa dawa mara kadhaa, lakini tatizo halikuisha. Lilikuwa linapotea kwa muda kisha linarudi tena.
Siku moja nilikwenda kumnunulia chips kwa sababu anazipenda sana, na dada wa kazi hakuwepo kumpikia. Nikiwa hapo, nikamsikia mteja mmoja akisema asiwekeewe tomato kwa sababu zinawawasha watoto tundu la haja kubwa. Nilishangaa kuona kwamba hata muuza chips alikuwa analifahamu jambo hilo na hakuliona kuwa la ajabu kama mimi nilivyoliona.
Nami nikawaeleza kuhusu tatizo la mtoto wangu, wakasema huenda chanzo ni hizo tomato. Kwa kweli mtoto wangu alipenda sana kula chips zenye tomato, hata kachori na tomato. Basi nikamzuia kula tomato kwa namna yoyote ile, na tatizo likaisha.
Sasa ikiwa ni kweli kwamba kuna nchi za nje zinazolazimisha nchi yetu kukubali ushoga, je, watu watafanywaje kuwa mashoga? What if kuna vitu vinawekwa hata kwenye vyakula ili mtu ajisikie kuwashwa na kubongolewa? Inawezekana yapo mengi, lakini hili ni moja ambalo tunaweza kuliepuka kwa kujihakiki wenyewe.
Asante.
Tanzania kwanza
Duh!kitambo sana. Habari za miaka?Nakutafuta best