Utata wa Tomato

Utata wa Tomato

URA WAZA

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2025
Posts
326
Reaction score
584
Habarini wanajukwaa,mimi ni kama mzazi nimeamua nilete jambo hili mbele yenu ili kila mmoja kwa mtazamo wake aweze kuokoa kizazi chake kutokana na mashoga

Mimi nitajikita kwenye suala moja; suala la tomato zinazowekwa kwenye chips. Ndiyo, tomato hizi hizi.

Nilikuwa na mtoto ambaye alikuwa anawashwa kwenye tundu la haja kubwa. Mwanzoni nilidhani ni minyoo, hivyo nikampa dawa mara kadhaa, lakini tatizo halikuisha. Lilikuwa linapotea kwa muda kisha linarudi tena.

Siku moja nilikwenda kumnunulia chips kwa sababu anazipenda sana, na dada wa kazi hakuwepo kumpikia. Nikiwa hapo, nikamsikia mteja mmoja akisema asiwekeewe tomato kwa sababu zinawawasha watoto tundu la haja kubwa. Nilishangaa kuona kwamba hata muuza chips alikuwa analifahamu jambo hilo na hakuliona kuwa la ajabu kama mimi nilivyoliona.

Nami nikawaeleza kuhusu tatizo la mtoto wangu, wakasema huenda chanzo ni hizo tomato. Kwa kweli mtoto wangu alipenda sana kula chips zenye tomato, hata kachori na tomato. Basi nikamzuia kula tomato kwa namna yoyote ile, na tatizo likaisha.

Sasa ikiwa ni kweli kwamba kuna nchi za nje zinazolazimisha nchi yetu kukubali ushoga, je, watu watafanywaje kuwa mashoga? What if kuna vitu vinawekwa hata kwenye vyakula ili mtu ajisikie kuwashwa na kubongolewa? Inawezekana yapo mengi, lakini hili ni moja ambalo tunaweza kuliepuka kwa kujihakiki wenyewe.

Asante.

Tanzania kwanza
 
Habarini wanajukwaa,mimi ni kama mzazi nimeamua nilete jambo hili mbele yenu ili kila mmoja kwa mtazamo wake aweze kuokoa kizazi chake kutokana na mashoga

Mimi nitajikita kwenye issue moja. issue ya tomato ile ya kuwekea kwenye chips.yes tomato hii hii...niko na mtoto sasa akawa anawashwa kwenye tundu la haja jubwa nikajua ni minyoo..nimempa dawa sana sasa ikawa haponi ilo tatizo...baada ya muda linarudi..sasa kuna siku nimeenda kumchukulia chips kwa kua anapenda sana na dada wa kaz hakuepo kumpikia..basi kigengeni nikakuta mtu anasema asiwekewe tomato kwakua zinawawasha watoto tundu la haja kubwa..basi pale ikaonekana hiyo issue hata muuza chips anaijua na hakuishangaa kama ilivyo mimi..nami nika elezea tatizo la mtoto wangu wakasema ni hizo tomato..na ni kweli anapenda chips na mitomato..ata kacholi na tomato..basi nikamuachisha utaratibu wa kula tomato kwa namna yoyote na tatizo LIKAISHA.

Sasa ikiwa kwamba serikali za nje zinalazimisha tu nchi yetu tukubali ushoga..na je watu watafanywaje kua mashoga? ..what if wanaeks vitu hata kwenye vyakula ili mtu ajisikie kuwashwa na kubongolewa??....inawezekana yako mengi ila hili moja tunaloweza kuliepuka ikiwa utajihakiki ni vizuri zaidi.

Asante.

Tanzania kwanza
Mheshimiwa napenda kuchangia hoja iliyopo mezani kama ifuatavyo. kwa kitaaluma mimi si daktari wala sijawahi kuwaza kuwa daktari ila nina machache ya kusema.
ieleweke kuwa kuna sababu za kisayansi na kiutafiti zinazoeleza kwa nini sosi hizo husababisha hali hiyo:
  • ya kwanza uwepo wa asidi Nyingi (High Acidity): Nyanya hizi mnazotumia kiasili zina kiwango kikubwa cha asidi, na kwenye sosi za viwandani huongezewa siki (vinegar) ili zisiharibike. Asidi hii isipomeng'enywa kikamilifu tumboni, inapotoka wakati wa haja kubwa huwasha na kutesa ngozi laini na nyeti inayozunguka tundu la haja kubwa.
  • pili kuna issue ya vihifadhio na Viungo (Preservatives and Spices): Sosi nyingi za chips huwekwa kemikali za kuhifadhi chakula, rangi, na wakati mwingine pilipili au viungo vikali ambavyo husababisha mzio (allergy) au mwasho (irritation) kwenye mfumo wa mwisho wa haja kubwa, hasa kwa watoto ambao ngozi zao ni laini sana.
  • na tatu aina ya tomato Sosi (Local Processing): tomato Sosi nyingi zinazotumiwa kwenye maduka ya chips hupikwa kienyeji au kununuliwa kwenye madumu makubwa ambapo usafi au viwango vya kemikali vinavyowekwa havijathibitishwa, hali inayoweza kuongeza mwasho huo
  • Nb badili hiyo Id yako , imekaa kikuda sana.
 
Tomato zinatengenezwa hapo iringa na wabongo, ukishindwa kuyaface matatizo yako na kusingizia wazungu utakuwa mgonjwa wa akili.
kwa kweli hii tabia mbaya , mbovu na inayonuka ya kutafuta mchawi wa mbali hususani wazungu inatuzuia kuwa serious na kuwa tayari kukabiliana na matatizo yetu yanayosababishwa na mifumo mibovu ya ndani—kama vile kuimarisha ukaguzi wa ubora wa vyakula unavyofanywa na mamlaka zetu (TBS na TFDA/TMDA) ili kulinda walaji.
 
Habarini wanajukwaa,mimi ni kama mzazi nimeamua nilete jambo hili mbele yenu ili kila mmoja kwa mtazamo wake aweze kuokoa kizazi chake kutokana na mashoga

Mimi nitajikita kwenye issue moja. issue ya tomato ile ya kuwekea kwenye chips.yes tomato hii hii...niko na mtoto sasa akawa anawashwa kwenye tundu la haja jubwa nikajua ni minyoo..nimempa dawa sana sasa ikawa haponi ilo tatizo...baada ya muda linarudi..sasa kuna siku nimeenda kumchukulia chips kwa kua anapenda sana na dada wa kaz hakuepo kumpikia..basi kigengeni nikakuta mtu anasema asiwekewe tomato kwakua zinawawasha watoto tundu la haja kubwa..basi pale ikaonekana hiyo issue hata muuza chips anaijua na hakuishangaa kama ilivyo mimi..nami nika elezea tatizo la mtoto wangu wakasema ni hizo tomato..na ni kweli anapenda chips na mitomato..ata kacholi na tomato..basi nikamuachisha utaratibu wa kula tomato kwa namna yoyote na tatizo LIKAISHA.

Sasa ikiwa kwamba serikali za nje zinalazimisha tu nchi yetu tukubali ushoga..na je watu watafanywaje kua mashoga? ..what if wanaeks vitu hata kwenye vyakula ili mtu ajisikie kuwashwa na kubongolewa??....inawezekana yako mengi ila hili moja tunaloweza kuliepuka ikiwa utajihakiki ni vizuri zaidi.

Asante.

Tanzania kwanza
Badili hiyo id yako walau isomeke Muwasho2030
Vinginevyo...hakuna cha maana kitakachochangiwa na watu wenye akili timamu humu kutokana na hilo jina.
 
Mheshimiwa napenda kuchangia hoja iliyopo mezani kama ifuatavyo. kwa kitaaluma mimi si daktari wala sijawahi kuwaza kuwa daktari ila nina machache ya kusema.
ieleweke kuwa kuna sababu za kisayansi na kiutafiti zinazoeleza kwa nini sosi hizo husababisha hali hiyo:
  • ya kwanza uwepo wa asidi Nyingi (High Acidity): Nyanya hizi mnazotumia kiasili zina kiwango kikubwa cha asidi, na kwenye sosi za viwandani huongezewa siki (vinegar) ili zisiharibike. Asidi hii isipomeng'enywa kikamilifu tumboni, inapotoka wakati wa haja kubwa huwasha na kutesa ngozi laini na nyeti inayozunguka tundu la haja kubwa.
  • pili kuna issue ya vihifadhio na Viungo (Preservatives and Spices): Sosi nyingi za chips huwekwa kemikali za kuhifadhi chakula, rangi, na wakati mwingine pilipili au viungo vikali ambavyo husababisha mzio (allergy) au mwasho (irritation) kwenye mfumo wa mwisho wa haja kubwa, hasa kwa watoto ambao ngozi zao ni laini sana.
  • na tatu aina ya tomato Sosi (Local Processing): tomato Sosi nyingi zinazotumiwa kwenye maduka ya chips hupikwa kienyeji au kununuliwa kwenye madumu makubwa ambapo usafi au viwango vya kemikali vinavyowekwa havijathibitishwa, hali inayoweza kuongeza mwasho huo
  • Nb badili hiyo Id yako , imekaa kikuda sana.
Wewe ni Clinical officer sio daktar acha sifa za kijinga na diploma yako ya angalau d4
 
American garden Ketchup USA, Peptang Kenya, Dabaga (Iringa) Redgold (wahindi hawa ) Dar.

Wanao afford American garden ketchup ni wachache kwa vipato vyetu Tz, kama madai yako ni ya kweli basi dabaga na redgold waulizwe.
 
Back
Top Bottom