Ndondokela ya African league (AFL) ni tofauti kabisa na michuano ya Klabu bingwa Dunia (FIFA)

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,206
12,726
Baada ya mchezo wa shield community (ngao) Simba sc walichukua taji.

Kwenye interview walisema "huu ni mwanzo mzuri tumefungua msimu vizuri na siku zote atakayechukua kombe hili huwa anachukua kombe la ligi"

Simba sc walipata Dondokela ya African league (AFL) yalikuja maneno mengi sana ikiwepo moja ya ndoto zao ni kuchukua kombe la AFL pasipo kujali kuwa hiyo ilikuwa ni Dondokela tu kwa Simba SC.

Baada ya kutoka Kapa kwenye michuano ya AFL walirudi kwenye ligi Wakiwa na matumaini ya kuchukua kombe la Nbcpl.

Baada kudondosha point kwa mtani wao Yanga Sc, na point mbili muhimu kwa Namungo pamoja na KMC, matumaini ya kuchukua kombe lolote ndani Yamefutika kabisa.

Sasa ndoto zimehamia kushiriki klabu bingwa Dunia FIFA na hapo ni tia maji tia maji maana kwenye michuano ya Klabu bingwa Africa Simba sc Ina Hali mbaya haijui mwisho wake utaisha vipi?!

Maoni Yangu: Upepo wa klabu bingwa Dunia FIFA upo ili KUBADILI Kelele na kuaipoza mashabiki wasipige kelele juu za timu Yao yenye mwenendo mbovu huo ndiyo ukweli usiopingika.
 
Simba hakushiriki michuano ya AFL kwa ndondokela, Bali kwa kutimiza vigezo vilivyowekwa. Hata club bingwa ya dunia atashiriki Kama ametimiza vigezo, Chelsea amechaguliwa wakati matokeo yake ni Tia maji kwa Sasa. Alipo Simba Sasa hivi na.nyinyi mnaweza kufika Kama mkitimiza vigezo
Sasa Chelsea na Simba si mbingu na aridh!! , au kwasababu vyote ni vilabu vya mpira!??..
 
Baada ya mchezo wa shield community (ngao) Simba sc walichukua taji.

Kwenye interview walisema "huu ni mwanzo mzuri tumefungua msimu vizuri na siku zote atakayechukua kombe hili huwa anachukua kombe la ligi"

Simba sc walipata Dondokela ya African league (AFL) yalikuja maneno mengi sana ikiwepo moja ya ndoto zao ni kuchukua kombe la AFL pasipo kujali kuwa hiyo ilikuwa ni Dondokela tu kwa Simba SC.

Baada ya kutoka Kapa kwenye michuano ya AFL walirudi kwenye ligi Wakiwa na matumaini ya kuchukua kombe la Nbcpl.

Baada kudondosha point kwa mtani wao Yanga Sc, na point mbili muhimu kwa Namungo pamoja na KMC, matumaini ya kuchukua kombe lolote ndani Yamefutika kabisa.

Sasa ndoto zimehamia kushiriki klabu bingwa Dunia FIFA na hapo ni tia maji tia maji maana kwenye michuano ya Klabu bingwa Africa Simba sc Ina Hali mbaya haijui mwisho wake utaisha vipi?!

Maoni Yangu: Upepo wa klabu bingwa Dunia FIFA upo ili KUBADILI Kelele na kuaipoza mashabiki wasipige kelele juu za timu Yao yenye mwenendo mbovu huo ndiyo ukweli usiopingika.
imagine Yanga isingefungwa na ihefu ingetangaza ubingwa kabla ya mzunguko wa 25...
 
Ushauri kwao, wao waendelee kukomaa tu Mwenyekiti ajiuzuru.
 
Back
Top Bottom