Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,102
- 144,561
Naombeni majibu kwani kama sikosei, zamani kama sio Bingwa hushiriki hili kombe.
Mwenye majibu ya uhakika atusaidie.
Mwenye majibu ya uhakika atusaidie.
CAFCL sio NBCPL, usihangaike kusubiri majibu ya uongo, ingia kwa website ya CAF utapata majibu yako huko.Naombeni majibu kwani kama sikosei, zamani kama sio Bingwa hushiriki hili kombe.
Mwenye majibu ya uhakika atusaidie.
Caf wanasheria kua kuna timu ktk ranks zinaingiza timu 2 klabu bingwa na shirikisho. Kwa hapa tz hii imekuja baada ya simba kukusanya point nying ktk michuano hii, pia wakaunganisha point za namungo na yanga. Ndo mna tumepata nafasi ya kuingiza timu 4 tng mwaka juz km sikosei.Naombeni majibu kwani kama sikosei, zamani kama sio Bingwa hushiriki hili kombe.
Mwenye majibu ya uhakika atusaidie.
Hilo nafahamu, ila kwa miaka ya nyuma, hizi kanuni zilikuwepo?Caf wanasheria kua kuna timu ktk ranks zinaingiza timu 2 klabu bingwa na shirikisho. Kwa hapa tz hii imekuja baada ya simba kukusanya point nying ktk michuano hii, pia wakaunganisha point za namungo na yanga. Ndo mna tumepata nafasi ya kuingiza timu 4 tng mwaka juz km sikosei.