unataka kuwaponza jamiiforums?!..Huu uzi ungefaa kuwekewa poll hapo juu watu wapige kura kama watapiga kura.
Au inaweza kuwa issue kwenye zile sheria zetu za kinoko za kufanya opinion poll?
Kama kuwaponza mlaumu aliyeanzisha thread.unataka kuwaponza jamiiforums?!..
me sijakwambia ww ntakushawishi mbona unawashwa sn we kama hupig si bhas achaWashawishi machawa na ndugu zako. I can't waste my time voting while my vote is invariably not appreciated and hounered. Ni ujinga tu...
yaan ntshindwaje kumshawishi mke na mtoto wangu wakat nawalishaHebu anza kushawishi tuone
Hili ndilo jibu mm na mke wangu na wazazi waku hatupigi kura mwaka huu. Na nikibaini mtu anaenitegemea ka vote basi msaada hakuna tenaTuambizane Binafsi sitapiga kura
The sameUnless reforms zifanyike.
😀😀Labda kupiga mbinja.