Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,354
- 6,008
Mwaka huu (2027) katika numerolojia inatawaliwa na namba 2 ambayo inatokana na utaratibu wa kujumilsha kila namba katika mwaka na kuhakikisha namba inabaki katika dijiti moja. Inakuwa hivi: 2027= 2+0+2+7=11
11=1+1=2
...............................
Baada ya kasi na misukosuko ya mabadiliko makubwa ya mwaka 2026 yaliyotawaliwa na namba moja 1 kama nilivyowahi kufafanua mwaka 2027 unakuja na mtetemo wake utakaoufanya mwaka huu kuwa mwaka wa: utulivu, ushirikiano na usawazishaji.
Tutashuhudia uhusiano, ushirikiano, subira, utulivu, diplomasia, amani na ukuaji wa hisia.
Jinsi ya kufaidika na mwaka 2027
- sikiliza wengine
-Tafuta usawa
-Tenda kwa upole.