Naomba kura kwenye SAMIA KALAMU AWARDS 2026

Naomba kura kwenye SAMIA KALAMU AWARDS 2026

888I

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
472
Reaction score
581
Wapendwa,


Naomba support yenu kwa kunipigia kura kwenye Tuzo za Samia Kalamu Awards,katika kipengele Cha Habari za MAZINGIRA,pia unaweza kusoma habari hizo kupitia link hiyo chini ya neno Piga kura kuna Kazi zilizowasilishwa.

Piga kura kwa Isack Dickson Lukumay (Kodi: 260013) kwa kutumia link hii hapa chini:


Kura yako ni mchango mkubwa sana kwangu. Tafadhali share pia kwa wengine.
 
Wasije wakasema nakukatisha tamaa....ila kuna watu majasiri
 
Kwanini "Ushoroba Kwakuchinja" ipo mara mbili? Pana nini cha ajabu hapo. Makala zote tati nimezisoma, mbili za Mongabay na moja ya Al Jazeera.
Angle tofauti tu mkuu ila eneo moja
 
Kuna watu hawapaswi kuwa mifano katika Taifa letu
 
Yule bibi ni
 

Attachments

  • 410-e1582098328480.png
    410-e1582098328480.png
    511.8 KB · Views: 5
Back
Top Bottom