Utamu wa Valentine❤️, kunyonywa na kunyonya

Utamu wa Valentine❤️, kunyonywa na kunyonya

Nimejilaza hapa kitandani sikutaka kuchangia chochote kwenye huu Uzi maana wengine hisia zetu za mapenzi tunzijua wenyewe 🙏
Kipozeo changu kimeenda Kwa bebi wake wanakula Valentino amempost wasap yaani hapa siko sawa ningekuwa nakunywa pombe Leo ningelewa Sana 🙏
Babe wako ana baby wake🤣🤣🤣🤣 alivyo na roho mbaya akampost whatsapp na wewe ukaona, ayaaaaa huyo dada ametuwakilisha vema tutampa ukatibu kikao kijacho🤣🤣🤣
 
Eeh IVF kuzaliwa kwa C-section,
Hiyo nzuri sana! Unajua K ikipitisha kichwa cha mtoto, huwa hairudi kuwa sawa. Ndipo masuala ya ukibamia yanaanza.

Unajua mtoto wa IVF Kwanini huwa majiniasi ni kutokana na kanuni ya IVF kutoruhusu mtoto kutokea katika K. Mimi ninao wawili, ni moto wa kuotea mbali madarasani mwao
 
Back
Top Bottom