Lagertha
JF-Expert Member
- Mar 1, 2023
- 212
- 680
Daktare una mambo mengi upo kama haupo, mh!Kwanini uwe mpweke wakati nipo jamani
Daktare una mambo mengi upo kama haupo, mh!Kwanini uwe mpweke wakati nipo jamani
weeee hii mbona nzuri kusikiliza, navuta kigoda nakaa chini kitako,Unajua kabla ya kutotoa, hata akiloa inapita kwa mbinde, akishapitisha kichwa anaanza kudai kibamia, na wanaume tulivyo mahanisi kwa wake zetu, unatafuta dawa ya kuongeza uume, badala ya kujua kichwa kiliitransform K ya mkeo
Mie nipo teleeee mrembo wangu hujataka tu kunitafuta ila hata niwe busy vipi siwezi kukosa muda kwako🤗Daktare una mambo mengi upo kama haupo, mh!
Uturuki ndiyo mabingwaweeee hii mbona nzuri kusikiliza, navuta kigoda nakaa chini kitako,
eenh, kwan dawa za kuongeza uume zipo kiukweli ukweli?
Aisee!Machozi, yaan nikiona machozi ya mtu nahisi kinyaa, mtu mzima akilia nitafanya juu chini machozi yake yasiniguse kama ni mtoto nitamfuta na nguo au tissue lakini sio mikono yangu, crazy hunh!😃
😂🤣🤣, zaidi ya uchizi, hii ni mpya maishani mwangu 😂😂, natamani ningeona mtu anavyomwaga chozi mbele yako.Machozi, yaan nikiona machozi ya mtu nahisi kinyaa, mtu mzima akilia nitafanya juu chini machozi yake yasiniguse kama ni mtoto nitamfuta na nguo au tissue lakini sio mikono yangu, crazy hunh!😃
Be true to yourself basi mtu wangu 😅Kwani hakuna watu wanaoangalia tu kujifunza mpaka wajitekenye?
Ndio ukweli wenyewe huo!Be true to yourself basi mtu wangu 😅
Huwezi kunidanganya bwana, niambie ukweli tu. Ukizidiwa nini kinafuata.Ndio ukweli wenyewe huo!
Hakuna kinachofuata zaidi ya kujilisha upepo😄Huwezi kunidanganya bwana, niambie ukweli tu. Ukizidiwa nini kinafuata.
Kwa kweli ni kujilisha upepo tu, unachat mda huu ibadani umeenda saa ngapi?Hakuna kinachofuata zaidi ya kujilisha upepo😄
zaidi ya fundi, ni bundi 🦉Wewe fundi mpaka nije chemba? 😹😹
Naongia badae mchana ninatoa neno pale madhabahuni😃🤝🏽Kwa kweli ni kujilisha upepo tu, unachat mda huu ibadani umeenda saa ngapi?
Ukimaliza nakuhitaji uje unipe neno pia😋Naongia badae mchana ninatoa neno pale madhabahuni😃🤝🏽
Shindwaa!Ukimaliza nakuhitaji uje unipe neno pia😋
Kwamba mimi sihitaji neno?Shindwaa!
Ungekuja kanisani!Kwamba mimi sihitaji neno?
Unipe neno la wawili, sitaki congregation 😅Ungekuja kanisani!