Utamu wa picha, macho yako

K
FB_IMG_16036234240376418.jpg
 
2011 dereva wa chuo cha mati-ilonga aliwapeleka wanachuo msamvu akiwa na gari kama hilo,lilivyofika stand wapga debe na abiria wakaanza kumpigia makofi kwa kumpongeza kuendesha ndinga kama hyo
Hiyo ndinga ni full machenical hamna hydraulic humo unatumia kifua chako mwanzo mwisho, gari ngumu kama unaendesha nyumba
 
Picha ya kwanza:
Patrice Lumumba Waziri Mkuu wa Congo, alikuja pinduliwa na kuuwawa januari 17, 1961 na Majeshi ya Mabeberu Ubelgiji wakishirikiana na Kiongozi wake wa Jeshi General Mobutu Sesseseko Nkuku wa Zabanga.

Picha ya Pili
Rais Kapteni Thomas Isdore Sankara akiwa na rafiki yake wa muda mrefu Kapteni Blaise Compaoure.

Rais Sankara baadae alikuja pinduliwa Oktoba 25,1987 na rafiki yake huyo na kisha kuuwawa na Kurithi kiti cha Urais wa Burkina Faso(Upper Volta).

Kwa hakika Kikulacho Kinguoni Mwako
 
Hakika mkuu, haya matukio huwa ni ya kusikitisha sana.
Lakini kubwa ni kuwaidhika kwa kila tukio lipitalo mbele ya macho yetu.
 
Back
Top Bottom