Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,913
- 10,719
acha bhanaa
acha bhanaa
1967 kulikuwa Kuna watu wanaujasiri wakuvaa hivyo
Mini skirt1967 kulikuwa Kuna watu wanaujasiri wakuvaa hivyo
2011 dereva wa chuo cha mati-ilonga aliwapeleka wanachuo msamvu akiwa na gari kama hilo,lilivyofika stand wapga debe na abiria wakaanza kumpigia makofi kwa kumpongeza kuendesha ndinga kama hyo