Utamu wa mwanamke ni upi?

Mi mwanamke yeyote ilimradi asinuke papuchi mana sku izi wananuka kama ng'onda cjui shida niniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ina maana hata wewe mwenyewe kama mwanamke hujui utamu wako upo wapi? hujui nini kitamu kinachomfurahisha mwenzio kwako??
 
Absolutely, lakini kwa hulka za dada zetu watasema tatizo la wanaume ni malaya, au watasema wote baba yao ni mmoja.

Lakini umeongea ukweli japo ni mchungu.
 
Kama ni hawa uzao wa Adam.. Hata uwape vyote hivyo na ziada ya matundu yote saba... Bado hawatariridhika.... Kumbuka mfalme Suleiman alibarikiwa hekima na utajiri na wake wa ndoa 300 lakini bado akaongeza masuria 3000....

Jr
Naomba nikurekebishe mkuu " wake 700 na masuria 300" wenye hadhi ya kifalme, yaani madame wakali tupu.
Suleiman baada ya kufaidi ngono anakuja kutuambia eti, mambo yote ni ubatili sawa na kujilisha upepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kuwa navyo vyote hivyo lkn
 
Watu wa sayansi watusaidie.... Mm naona vitu vingine viko ki- nature zaidi.... Maana huwa naonaa hata viumbe wengine madume yote ni mchepuko kwa kwenda mbele.
 
Hongera kwa kumtunza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfalme Suleiman alioa wake 700 na michepuko 300 jumla yao 1000
Hao 3300 umewatoa wapi?
Kama ni hawa uzao wa Adam.. Hata uwape vyote hivyo na ziada ya matundu yote saba... Bado hawatariridhika.... Kumbuka mfalme Suleiman alibarikiwa hekima na utajiri na wake wa ndoa 300 lakini bado akaongeza masuria 3000....

Jr
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…