Kaliculus
JF-Expert Member
- Nov 8, 2019
- 271
- 248
Kuna aina2 za bikra mkuu, tusikaririHili suala la kuoa mwanamke ambaye hukumkuta bikra huwa linaumiza sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali lako ni tata kidogo, ila kama unataka kumjua aliyekwisha toa mimba, ni vizuri kwanza ukamjua ambaya hajatoa mimba.Habarini za mda huu?
Niko hapa ili tupeane maalifa mbali mbali ambayo yanaweza kutusaidia kujenga na kubomoa pia kama inawezekana.
Twende kwenye msingi wa mada kwa wataalam naomba kufahamu utamjuaje mwanamke au mshichana alietoa mimba hasa kwa Sisi vijana wabichi tunaotafuta wanawake wakuoa?
Naomba kufahamu wajuvi tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!Wote wameshindwa kukupa jibu ila am telling you zipo njia my dear brother nazo ni hizi hapa÷
°kama hujakuta bikra believe me kashawahi toa tena sio moja
°Ukiona mwanamke hapendi kula sana ugali trust me one of them
°Ukiona anapendwa sana na mama yake haa hujue hayo majanga mzee abortion happen
Progress not perfection
kwani wewe unajua style gani?Hizo style ni zipi jama.. "kwa style zote" ni kavile ziko nyingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
We jiulize kwanini shetan alichagua kuongea na mwanamke?Kuna mtoto flani ninayepunguzia ugwadu kwake. Huyo mtoto ni mzuri jamani ila sasa juzi nimekaa nae kumbe kashapigwa mimba na mbabu flani ila hataki kuzaa nae so akaamua ku abort.
Siku ameniita ni siku amebugia midawa ya kufyatua mzigo i was so suprised aisee, nilichoweza kumsaidia ni kumuongezea Sanitary Pads tu.
Katika Story story ananiambia ila ametoa mimba kwa staili karibia zote na hii rekodi ya sasa itakuwa mimba ya 7 kutoa. Alianzia Zenji alipokua anafanya kazi ya hoteli. Aisee nilibaki mdomo wazi na kuona kumbe kuna watu wana roho ngumu aisee. Mimba 7?
Zile chache unazojua wewe ujue kashazitumiaExtrovert, Hizo style ni zipi jama.. "kwa style zote" ni kavile ziko nyingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sana, nawaza tu kuna boya atakuja kupiga magoti na kutusambazia picha kuwa anaoa mtoto kigoli
Dawa ya vidonda vya tumbo pia mbona!Kujua ni kazi sana, labda utumie njia za kijasusi, kuna mmoja namjua kaishatoa kama 5 lakini kamwe huwezi jua. Hata kwa njia za kijasusi kupata idadi kamili ni kazi sana. Kaa karibu na Pharmacies wanazouza dawa inaitwa Misoprostal (sina uhakika na spelling zake) utastaajabu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chucku (nipple) zinachoma au zipo flat tu!Mm mbona Mimi nna chuchu black sana ila sijawai toa kijusi na matari wangu chini ya kitovu uko mweusi tii but sina mimba..so inategemea
Si una thredi kuwa ushapigwa mimba kimasihara!aah ati ninimbona mi zangu nyeusi tiima sjawah kutoa.....aah weeee umenivuruga
Kwani zina misumar.Chucku (nipple) zinachoma au zipo flat tu!
Mungu kawa wanawake kubebe ujauzito maradufu na kadria hazina za mayai yao!! Haki zao kuzaa au kuto kuzaa !!Huwezi kumtambua, labda aamue kukushirikisha.
Ndo ivo sasa, usijidanganye.Kwani zina misumar.
Shetani huyo! Full stopKuna mtoto flani ninayepunguzia ugwadu kwake. Huyo mtoto ni mzuri jamani ila sasa juzi nimekaa nae kumbe kashapigwa mimba na mbabu flani ila hataki kuzaa nae so akaamua ku abort.
Siku ameniita ni siku amebugia midawa ya kufyatua mzigo i was so suprised aisee, nilichoweza kumsaidia ni kumuongezea Sanitary Pads tu.
Katika Story story ananiambia ila ametoa mimba kwa staili karibia zote na hii rekodi ya sasa itakuwa mimba ya 7 kutoa. Alianzia Zenji alipokua anafanya kazi ya hoteli. Aisee nilibaki mdomo wazi na kuona kumbe kuna watu wana roho ngumu aisee. Mimba 7?
Aah thubutuSi una thredi kuwa ushapigwa mimba kimasihara!
Kuna mtoto flani ninayepunguzia ugwadu kwake. Huyo mtoto ni mzuri jamani ila sasa juzi nimekaa nae kumbe kashapigwa mimba na mbabu flani ila hataki kuzaa nae so akaamua ku abort.
Siku ameniita ni siku amebugia midawa ya kufyatua mzigo i was so suprised aisee, nilichoweza kumsaidia ni kumuongezea Sanitary Pads tu.
Katika Story story ananiambia ila ametoa mimba kwa staili karibia zote na hii rekodi ya sasa itakuwa mimba ya 7 kutoa. Alianzia Zenji alipokua anafanya kazi ya hoteli. Aisee nilibaki mdomo wazi na kuona kumbe kuna watu wana roho ngumu aisee. Mimba 7?
Nko vzur mkuu..kila kituNdo ivo sasa, usijidanganye.